Haaaaa! Vp EPL tutabeba mkuu?Mechi ya leo kati ya West Ham United na Manchester United, inatarajiwa yafuatayo yatatokea:
1. Manchester United itashinda.
2. Manchester United watapewa Penati / Mchezaji wa West Ham United atapewa kadi nyekundu / Goli la West Ham United litakaliwa kwa VAR au bila VAR.
Mkuu hizi za punda au zipi?Hiz jez zetu walikua wanatusema kweli, sio nzuri kiukweli
Ubingwa sijui. Timu pekee ambayo nina nadharia nayo kuhusu ubingwa ni Liverpool. Mwaka huu hawawi mabingwa.Haaaaa! Vp EPL tutabeba mkuu?
Hiz jez zetu walikua wanatusema kweli, sio nzuri kiukweli
Dakika ya 8: Goli la West Ham United limekataliwa bila VAR.Mechi ya leo kati ya West Ham United na Manchester United, inatarajiwa yafuatayo yatatokea:
1. Manchester United itashinda.
2. Manchester United watapewa Penati / Mchezaji wa West Ham United atapewa kadi nyekundu / Goli la West Ham United litakaliwa kwa VAR au bila VAR.
Huu uzi mzuri..labda kama wewe una makengezaHiz jez zetu walikua wanatusema kweli, sio nzuri kiukweli
