Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

We kweli NYUMBU, hiyo soton uliifunga wao wakiwa wangapi uwanjani?
Mkuu achana na haya manyumbu ..nimeyauliza je unaweza kuifunga Soton, yanaanza kuleta matokeo ya ajabu ajabu wakati mpira wenyewe ulikuwa wa hovyo hovyo tu..
Nyumbu ni Nyumbu tu hawezi kuwa nyati..
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Wasalimie kigoma, waambie Manchester united yuko nafasi ya pili na hajakata tamaa ya kuufukuzia ubingwa.
Ubingwa gani wewe unafukuzia..? Acha ndoto za alinacha mkuu ..kwanza hiyo nafasi ni za watu na ndo sisi tunakuja hapo ..wee endelea kushangaa shangaa utajikuta huna hata boksa
Chini ya olesendeka usitarajie hata iyo nafasi ya pili maana Muda wowote watabe watapita nayo..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom