Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,667



Huyu mtto Rashford ni kama nzi tu..akiacha ujinga kuna siku atatoa asali



Huyu mtto Rashford ni kama nzi tu..akiacha ujinga kuna siku atatoa asali
Huyo dogo angesoma shule za huku kwetu ni wale wanaopataga sifuri licha ya kuhudhuria drsn kila siku. Dogo kichwa nunda sana, open chance anapoteza nyingi sana na nna hakika huwa anaelezwa kwenye preview, pale ulitakiwa kushoot au ku-release mpira sharplyRashid atoke tuu![]()
Unarusha stim tuanzebe dahNakuita kwa sauti kuuu![]()
Aisee noma kwelUnarusha stim tuanzebe dah
Mechi tight kama hii unaweka mzigo kama huu wa nini? Tuanzebe acheze league cup basi.Tuanzebe tuanzebe
Mara chakula cha watoto, Mara kamuaandikia barua prime minister vyakula bure mashuleni, Mambo kibao anafanyaNaamini timu inaomadaktari wa saikolojia, wakae na Rashford. Anakitu kinamsumbua siyo bure.
