Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dogo mguu kama una sumaku ya mpira..anahitaji proper coaching kuwa star mkubwa ajaye..Hilo ndo ninaloliamini.
Huyu jamaa anaweza akawa kama Quaresma wa FC Porto ya kipindi kile, vitu vingi mguuni lakini lilipo goli hapajui.

Martial abadilike, lasivyo sioni akimaliza misimu miwili.

Waingeleza wanapenda kuvipaisha sana vya kwao, upuuzi wote anaofanya Rashfood hautazamwi sana kama anavyo tazamwa Martial.
 
Huwa naangalia 90% ya game za united kila msimu consistently toka 2005.

Hivyo hakuna unachoweza kunieleza kuhusu United kikawa kigeni kwangu.

Kama huna chochote cha kuprove hoja yako bora upige chini ufanye kazi zingine usije kulala njaa ukamsingizia Rashford.
 
Hapo yeye mwenyewe anasema hatak kucheza center forward peke yake anataka kucheza nafasi mbalimbali sasa unataka proof zipi?
Hizo ni wishes lakini siyo anavyokuwa deployed uwanjani.

Tuzungumze uhalisia siyo wishes.
 
Huwa naangalia 90% ya game za united kila msimu consistently toka 2005.

Hivyo hakuna unachoweza kunieleza kuhusu United kikawa kigeni kwangu.

Kama huna chochote cha kuprove hoja yako bora upige chini ufanye kazi zingine usije kulala njaa ukamsingizia Rashford.

Hakuna ambae haangalii mech za hii timu mm toka 1998 naangalia every game toka kibanda umiza had hom kwangu rashford toka kwenye academy ni striker sio winga

Despite the hot start to his career, Jose Mourinho, who succeeded Louis Van Gaal the summer after Rashford’s breakout, didn’t seem to fancy him as a striker. Mourinho teams require a big, physical striker that can hold up play and Rashford simply isn’t that. He spent the next 2-and-a-half years playing as an attacking midfielder or winger for United, and although he still played well and produced goals and assists, he never improved drastically.
 
Hizo ni wishes lakini siyo anavyokuwa deployed uwanjani.

Tuzungumze uhalisia siyo wishes.

Unabishana na mwenyewe kaongea kwenye interview anaomba kutoka u center forward kwenda nafasi mbalimbali ambazo nazo hovyo

Mourinho alimtoa kuwa striker baada ya hayo mazonge kuona magoli adimu akawa anamtaka perisic ina maana kungekuwa na zlatan,lukaku na perisic mbele

Waingereza waliongea sana rashford kutupwa winga wakamchukia sana mourinho baadae sosha akaanza kumtumia kama striker na had leo rashord anacheza pembeni kwa sababu ya martial
 
Back
Top Bottom