Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu pole, Ole mwenyewe anaamini anahitaji kusajili zaidi ili kupata matokeo bora.
 
"Europa level yetu" hahahaha
 
BLACK LIVES MATTER ndio utofauti unapoanzia hapo
Black is Black

White is White

Kwanini slogani haikusema ALL LIVES MATTER .
Hii mada ifungwe tafadhali

Zaidi tuongelee uhusiano wa manjesta na uropa
 
Hizo takwimu zako ndo zinafanya United iendelee kutolewa kwenye mashindano.

Hazisaidii chochote.
 
Wazeee mmepimwa Oil[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tumbo joto mida hii..

Tutakuwa na meltdown mida ya saa saba humu tukiondolewa UEFA..

Ole na wachezaji tuondoleeni hizi tabu

GGMU
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu jana itakuwa uliendesha sana (uliharisha)
 
Subiri Mkwawa aje na takwimu zake za hovyo.

Ole hana mbinu kila siku tunasema.
 
Kule FUTUHI kuna akina Arsenal, cjui nani huko mtakomaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…