Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo man u asiposhinda kayataka mwenyewe. Game ya leo hata kama kocha hana mbinu wachezaji wanaweza kufosi na kulazimisha matokeo.

So sioni cha kujadili. Game man u anashinda ni swala la ngapi na jinsi gani atasecure ushindi.

Akifungwa itakua ni mambo ya Shakhtar na Real, Alaves na Barca na Locomotiv Moscow na Atletico.

Acha tuone kama mpira utadunda.
So mpira umedunda!!?

Man kamilikia mpira kwa zaidi ya 60% ila amepiga mashuti saba. Wenyeji kwa kumiliki mpira asilimia 37 wamepiga mashuti 6.

Timu nyingine ambayo inamiliki mpira ila haipigi mashuti mengi ni Arsenal, kwanini? Kwa sababu haina AM so inastruggle kupeleka mpira kwa wapiga mashuti na scorer ni mmoja tu.

Juzi Barca wakati anadraw na Alaves alimiliki mpira na alipiga mashuti zaidi ya 15.

Sasa swali; Man U haina AM? Haina scorer? Huu siyo mpango wa wachezaji kumfukuzisha kocha?

Steven Gerrard alijikosesha penati.

Arsenal ilisusa kuperform Europa.

Man u ikamsusia Jose.

The list goes on and on, Ole kashafikishwa huko au uwezo wake halisi ndiyo huu? Wiki kadhaa nyuma alisema fitness ni tatizo huu wimbo kuna member aliukariri bila hata kujiuliza. Baada ya games na PSG na RB akasema niliwaambia tatizo ni fitness sasa tunaanza kazi.

Anyway, chansi ya kufight bado mnayo kazeni unless kama wachezaji wanaconspire against Ole.
 
Halafu hapo Arsenal kamfunga Man Utd anajisifu

Ole plan A yake inapofeli hajawahi kuwa na plan B yenye mafanikio

Hii game ya leo tungecheza mipira ya krosi mingi au ya juu kuangukia kwenye box ya adui tungepata magoli

By the way timu ilikuwa ina urgency gani kiasi cha kwamba tumeanza game mpaka mabeki wote wanakwenda kushambulia na tunamuacha Demba ba peke yake

Bora hata timu apewe Kaze , Ole atupishe tu
Arsenal kaifunga man u huku hana attacking midfielder. Ozil yupo nje Houssem hakusajiliwa.

Hata hivyo hivi karibuni man u kaanguka kwa Arsenal zaidi ya mara moja so siyo jambo geni
 
Three manure players marking each other
IMG_16045210874691057.jpg
 
We gave everything but it wasn't meant to be. We'll bounce back even stronger.💪
Next stop #Istanbul.

Unafikir Istanbul ni mteremko?
Subiri uone

Kule watashinda kwan bado wanajua man u ni timu kubwa kumbe hola

Wale Instabul pia wanafatilia game za united, confidence wanayo ya kutosha mana wanajua watacheza na Cardif City yenye hela.
Mkuu curie pamoja na Mason Greenwood unapoambiwa kitu usiwe m-bishi hata siku moja. Tulia usubiri muda uwe hakimu.

Nilikuambia ukabisha.
 
Istanbul Basaksehir ni kama kachokoza nyuki halafu bado kabaki eneo la tukio.

With 45 minutes to play, kuongoza 2 - 1 kwa timu yenye sub zake 3 mkononi na nje wakiwepo Pogba, Cavani ni bora waukimbie uwanja wao mapema.

But this is a lesson to Ole, mambo ya playtime tunafanyaga tukishafuzu.
Wewe unaota
 
Wew umesema man u lazima ipate ushindi leo, Mimi sina msiba..Kiazi ni Ole.
Ningesemaje sasa na ukiangalia mchezaji mmoja mmoja man u yuko vizuri plus timu zote zilikua zimemkanyaga huyu Basaksehir ilikua ni man kwenda kutia mhuri tu.
 
Back
Top Bottom