Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Halafu hapo Arsenal kamfunga Man Utd anajisifu

Ole plan A yake inapofeli hajawahi kuwa na plan B yenye mafanikio

Hii game ya leo tungecheza mipira ya krosi mingi au ya juu kuangukia kwenye box ya adui tungepata magoli

By the way timu ilikuwa ina urgency gani kiasi cha kwamba tumeanza game mpaka mabeki wote wanakwenda kushambulia na tunamuacha Demba ba peke yake

Bora hata timu apewe Kaze , Ole atupishe tu
Squad selection yenyewe ilikuwa ni kujikaba kabisa.
 
Msisahau jamani weekend ni EVERTON.
Tuliwaambia humu kumfunga PSG isiwe sababu ya ninyi kujimwambafai ona sasa onaaa mkamuomba mpaka na bayern



Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kushinda tumechi tuwili tu ile Leipzig na PSG basi wakaona UEFA ni ya kwao, epl ya kwao ..Ole mjanja anang'ata na kupuliza 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom