Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jinsi tulivyofungwa goli la kwanza, mabeki walivyojipanga
IMG_20201105_080720.jpeg
 
Dah... Mkuu umenichekesha so unataja hadi wachezaji ambao hawajasajiliwa kama ni sehemu ya wachezaji wa Arsenal

Pia Ozil hajasajiliwa kucheza premier league unamtaja vipi hapo mkuu,

Naamini unajua zaidi ya ulichokomenti
Arsenal kaifunga man u huku hana attacking midfielder. Ozil yupo nje Houssem hakusajiliwa.

Hata hivyo hivi karibuni man u kaanguka kwa Arsenal zaidi ya mara moja so siyo jambo geni
 
Dah... Mkuu umenichekesha so unataja hadi wachezaji ambao hawajasajiliwa kama ni sehemu ya wachezaji wa Arsenal

Pia Ozil hajasajiliwa kucheza premier league unamtaja vipi hapo mkuu,

Naamini unajua zaidi ya ulichokomenti
Na hiyo ndiyo point yangu chief.

Kwamba Arsenal ameshinda game huku hana anayetakiwa kurahisisha mashambulizi.
 
★Solskjær on Istanbul's first goal: "Lack of communication and lack of good decisions, you don’t really see those goals at this level. We shouldn't concede goals like this." [goal]★

manutd |
 
★Solskjær: "It’s not easy to be positive now when you’ve lost the way we did, but we have a chance on Saturday morning [against Everton] to get going again."

Ole anampango wakulipa kisasi kwa Everton Jumamosi

manutd |
 
★İstanbul Başakşehir's two goals against Manchester United were the first Champions League goals in their history, resulting in their first ever Champions League win.★

manutd |
Watu wanajivunjia na kujitengenezea rekodi kwa manchester tu
 
★Solskjær on Istanbul's first goal: "Lack of communication and lack of good decisions, you don’t really see those goals at this level. We shouldn't concede goals like this." [goal]★

manutd |
Hajamalizia na "... bounce back even stronger"?
 
★Scholes: “It comes down to the manager and the staff, they decide who comes back from the corners [Demba Ba] goals, so this has to be on the players for not organising themselves on who should be back”.★

manutd |
 
★Paul Scholes: “Pogba came on and tried to beat players instead of passing, Martial was just stood in front of two centre backs just doing nothing” [BT]★

manutd |
 
★Paul Scholes on MU's defending for Demba Ba's goal: "It’s Under-10s football. It's embarrassing."★

#GGMU

manutd |
IMG_20201105_012325_033.jpeg
 
No Mkuu, unaongea ishu ya kufikirika ndio maana nimeshangaa

Hivi shabiki wa Man Utd naye akitaja wachezaji ambao walihitajika summer si itakuwa tunaongelea mambo ambayo hayapo

Au niseme na Pochetino/Julian angekuwa kocha wetu msingetufunga/tungewafunga haitaleta sense
Na hiyo ndiyo point yangu chief.

Kwamba Arsenal ameshinda game huku hana anayetakiwa kurahisisha mashambulizi.
 
★Kitu ambayo ni Dharau dunia ya mwisho kujichotea ushindi mbele ya Timu kubwa kama ile asee,wachezaji nao hata basi wajitahidi kulinda heshima ya Timu japo Kocha anatoa Mifumo na Selection Utupolo nao ndio wanacheza ujinga ujinga tu Huu msimu sijui tu kwanini unaniumiza sana nazani kuna makubwa zaidi ya haya yanaelekea kutokea huko mbele★

#LetsTakeaLook
Watu wanajivunjia na kujitengenezea rekodi kwa manchester tu
 
★Scholes: “It comes down to the manager and the staff, they decide who comes back from the corners [Demba Ba] goals, so this has to be on the players for not organising themselves on who should be back”.★

manutd |
Bado aliocheza nao wanamtetea. Hii inamaanisha Ole bado yupo.

At the mean time acha tuone maajabu
 
Back
Top Bottom