Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Istanbul Basaksehir ni kama kachokoza nyuki halafu bado kabaki eneo la tukio.

With 45 minutes to play, kuongoza 2 - 1 kwa timu yenye sub zake 3 mkononi na nje wakiwepo Pogba, Cavani ni bora waukimbie uwanja wao mapema.

But this is a lesson to Ole, mambo ya playtime tunafanyaga tukishafuzu.
 
Kwa mbinu za OLE GUNNAR msimu huu wa 20/21 Manchester United FC haitaingia TOP 4, haitavuka 16 bora UEFA, haitatwaa taji lolote msimu huu.

*Hakuna kitu atafanya huyu mbahatishaji. Una Cavani, Ighalo, Van de Beek, Pogba, Fernandes, Rashford, Matic, De Gea afu bado unastrugle.

Kiufupi Ole hajui namna gani awatumie wachezaji kushinda mechi, mechi rahisi anazifanya kua ngumu sana mfano mechi ya Arsenal
 
Huyu kocha atatugharimu sasa kipindi cha pili Fred na McTomminay wanahitajika Matic ashazeeka. Tukiweka hao wawili tunawapa defense uhuru wa kudili na Ba vizuri.

Kingine nimeamini Maneno kuhusu Bruno kabadilika anapoteza mipira ovyo ovyo.

Second half tunataka fred or McTomminay. Kiungo kimeisha.
 
Sub yenyewe dk ya 80
 
1st goal. Martial
CgAGVl-i9ZuAfXhVADYOPDIHg4k988.gif
 
Ole huwa anafanya ujinga sana, tayari kashapoteza sub moja. Ilikuwa haihitaji akili nyingi kujua Scott anapaswa kuanza. Muda siyo mrefu atachezea sub nyingine kwa makosa yake ya upangaji kikosi.
 
Huyu kocha atatugharimu sasa kipindi cha pili Fred na McTomminay wanahitajika Matic ashazeeka. Tukiweka hao wawili tunawapa defense uhuru wa kudili na Ba vizuri.

Kingine nimeamini Maneno kuhusu Bruno kabadilika anapoteza mipira ovyo ovyo.

Second half tunataka fred or McTomminay. Kiungo kimeisha.
Ole anawapotezea muda tu....

Kila siku haeleweki anabuild timu ya aina gani..Msipombadilisha atawacost sana.
 
Back
Top Bottom