Masela wanajipigia tu geto kwakeLondon clubs.View attachment 1619187
Yaan kocha wangu kipenzi Unamuita bwege kweli?Bado hajafukuzwa tu....
Mpaka leo naweweseka ile mechi ya aseno inakuaje bwege ateta anafuta uteja tena mbaya zaidi trafford....
Jamani inabidi tushtuke sasa tumepitwa na anaeongoza ligi kwa point tisa
Mfumo upi tunaotumia leo!!
Naombeni link jamani![]()
Mbona kikosi ni full mkokoNinachojua mimi Ole ameidharau game na amewalisha sumu wachezaji wake pia sasa wote wakajisahau wakajikuta wanapanda wote na wameadhibiwa ipasavyo "one mistake, one goal"
Game tutashinda ila Ole kawadharau sana wapinzani wetu kuanzia kwenye kikosi, kuna watu ukiwapanga kwenye michuano kama UEFA wachezaji nao wanajua kabisa hii ni easy game. Ikiwa rahisi sana wachezaji wanajisahau.
Yamefanyika mabadiliko karibia matano ya kikosi kilichocheza mechi za UEFA zilizopita na tukapata ushindi mzuri. Wengi walioanza leo hawapo First Eleven na hiyo ni dalili mojawapo ya kudharau game.Mbona kikosi ni full mkoko