Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Nyie wapuuzi tumechoka kuwatukana, leo mjikaze mshinde hii mechi

daahNyie wapuuzi tumechoka kuwatukana, leo mjikaze mshinde hii mechi

daah😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Acha yafungwe tu.Nyie wapuuzi tumechoka kuwatukana, leo mjikaze mshinde hii mechi
Sio dharau kufungwa na under dogDharau hizi!
Malizia kabisa
Mkuu ulikuwa unamaanisha nini hapaIstanbul Basaksehir ni kama kachokoza nyuki halafu bado kabaki eneo la tukio.
With 45 minutes to play, kuongoza 2 - 1 kwa timu yenye sub zake 3 mkononi na nje wakiwepo Pogba, Cavani ni bora waukimbie uwanja wao mapema.
But this is a lesson to Ole, mambo ya playtime tunafanyaga tukishafuzu.




, Ole atupishe tuUnataka kusema nini sasa?Halafu hapo Arsenal kamfunga Man Utd anajisifu
Ole plan A yake inapofeli hajawahi kuwa na plan B yenye mafanikio
Hii game ya leo tungecheza mipira ya krosi mingi au ya juu kuangukia kwenye box ya adui tungepata magoli
By the way timu ilikuwa ina urgency gani kiasi cha kwamba tumeanza game mpaka mabeki wote wanakwenda kushambulia na tunamuacha Demba ba peke yake
Bora hata timu apewe Kaze, Ole atupishe tu