Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Hivi Jesse bado yukogi? Nilijua yuko huko National league★Solskjær: "Jesse [Lingard] is not travelling and of course we’ve had a few injuries before. We are travelling [to Istanbul] with a strong squad."★
manutd |
Mwenye link ya kuangalia mechi ya Salzburg vs Bayern atume.
Nataka nikamtazame Dominic Szoboszlai
strims.world
Wanatia hurumaNimecheka sana mkuu,![]()
Alafu matokeo?Akakalishwa![]()
Bila shaka na matokeo ya mechi uliyapenda pia★Niliipenda ile basi tu s!na Pesa ya kusafirisha zawadiMpaka Manchester★
Amekuwa kama Julio KihweloHuyu mshenzi ana majibu ya shombo sana kwa wakosoaji wake
Hiyo mashine inakuja Lonďon JanuarySell Pogba and replace him with Dominic Szoboszlai.
It's about the title and prestige.Ndiyo mnakua sawa mmetolewa ila kwenye Gawio la fedha mnatofautiana.
Hamna hela ya kununua hiyo mashineHiyo mashine inakuja Lonďon January
Leo lazima mgongwe...kenge nyie
Kweli ACHENO kawaumiza yaan leo mnaogopa jukwaa lenu ?