On/off zimekuwa nyingi sana na ndio maana tunaendelea kusema ushindi wa timu ni juhudi za wachezaji na si mbinu za ogs. Haya,tuna match fitness,kikosi kipana na tumepata mfumo/kikosi cha kwanza Ila tunafungwa na arsenal yenye bukayo saka!
Kuja na hoja ya kumkosa martial na/au Sancho haiwezi kuwa sababu kwanini timu inacheza back pass kila muda.
Mbali na kuzidiwa mbinu na arteta tangu mwanzo wa mchezo,tatizo kubwa la man utd ni kuwa na work rate ndogo ukilinganisha na wapinzani wetu,mwalimu kuwaogopa pogba na rashford kufanya vitu kwa mazoea.