Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wapinzani wa utd wakiwa hawaamini matako yao, huyo wa mbele apo ndiye Papaa Gx
tapatalk_1599222780263.jpeg
 
Kabisa mkuu binafsi napenda United kuliko wachezaj au makocha waliopo.

Binafsi huwa natoa my full sapport kwa timuu yangu

Mkuu wewe humpendi

Na hili ndio tatizo ninaloliaona kwa mashabiki wengi

Mfano kipindi kile cha Jose watu walikuwa wanaombea Man Utd wapigwe ili ku prove point kwamba Jose hafai

Inawezekana leo kuna mashabiki wa United wamejisikia unyonge/vibaya Man Utd kushinda kwa kuwa tu timu chini ya Ole imeshinda

Haitakiwi kumpenda kocha/mchezaji kuliko unavyoipenda timu yako na kushabikia timu ishinde au ifungwe just to prove your point
 
Kwahiyo past lockdown tulikutana na timu laini laini pekee ?
Tulishinda ndio..ila Pogba hakuwa ana influence mechi,na Fernandes alikuwa moto kushinda hata form aliyoanza nayo ligi msimu huu..tupeane time tuone siku Ole akiwapanga consecutively tutawajudge upya
 
Mkuu unashindaje hapo...Mata ni mpishi mzuri umemweka bench, James juzi kaonesha mpira mkubwa sana (alitiririka sana) ilitakiwa kwa njia yoyote Martial aanzie bench. Huyo Cavani hata benchi hayupo. Haka kakocha ni takataka kabisa.
.
 
ndio combo ya unbeaten run usisahau, timu ikipaki bus midfield ya Mctominay na Fred inakuwa ya kawaida, refer round ya kwanza msimu uliopita alipoumia pogba na matic. ila kwenye games kubwa no doubt jamaa wapo vizuri sana.
Naona saiv suala la Squad depth....
Linaelekea kuwa sio tatizo tena,
Mnachagua hizo mid Mnavyotaka, safi sana.
 
Mimi ni kati ya watu ninaamini kwamba United tuna wachezaji wazuri, kwa Uingereza tupo miongoni mwa top 4 ya timu zenye vikosi vizuri

Mimi ni kati ya watu wanaotaka sana legendary mchezaji wetu Ole afanikiwe pia akiwa kocha

Tatizo la Ole hana consistence, amekuwa kocha mwenye mafanikio kwa mechi kubwa (timu kubwa) ambazo ni chache, ndio maana kuna wakati ninaamini ni kocha mzuri kwenye hamasa na man Management kuliko mbinu

Leo ametumia mbinu nzuri ya kuwaheshimu PSG na kucheza counter attack

Pia hakuweka sana high line ambayo kibelenge Mbape ndio huwa anataka

Ameweza pia kumdhibiti Neymar kutokana na tabia yake ya show game na kung'ang'ania mipira... Kila alipokaa na mipira sekunde mbili akajikuta amezungukwa na watu kama akina Fred na Tominay na kunyang'anywa mipira

Pia ameweza kuwatumia Axel na Shaw kwenye kuwadhibiti wakimbeza Mwenge wote wa PSG pindi unapopigwa mpira wa mbio mbio

My concern Tuanzebe leo ameanza out of necessity, Maquire akipona Lindelof na Maquire watarudi kwenye namba zao (mimi nataka Tuanzebe na Maguire ndio waanze)
Ole nampa time naamini bado ana kazi kubwa ya kufanya..we are not there aisee,badobado
 
Nilikuwa saloon jioni jioni jamaa wakawa wanasikiliza sports redioni,nikasikia kuwa bado tunamtaka dembele january..hizi tetesi zipo?

Maana nimeona ni ujinga tu kumsajili dembele
tetesi za goal.com, hawaaminiki, sijaona kina romano wakipost
 
Mimi ni kati ya watu ninaamini kwamba United tuna wachezaji wazuri, kwa Uingereza tupo miongoni mwa top 4 ya timu zenye vikosi vizuri

Mimi ni kati ya watu wanaotaka sana legendary mchezaji wetu Ole afanikiwe pia akiwa kocha

Tatizo la Ole hana consistence, amekuwa kocha mwenye mafanikio kwa mechi kubwa (timu kubwa) ambazo ni chache, ndio maana kuna wakati ninaamini ni kocha mzuri kwenye hamasa na man Management kuliko mbinu

Leo ametumia mbinu nzuri ya kuwaheshimu PSG na kucheza counter attack

Pia hakuweka sana high line ambayo kibelenge Mbape ndio huwa anataka

Ameweza pia kumdhibiti Neymar kutokana na tabia yake ya show game na kung'ang'ania mipira... Kila alipokaa na mipira sekunde mbili akajikuta amezungukwa na watu kama akina Fred na Tominay na kunyang'anywa mipira

Pia ameweza kuwatumia Axel na Shaw kwenye kuwadhibiti wakimbeza Mwenge wote wa PSG pindi unapopigwa mpira wa mbio mbio

My concern Tuanzebe leo ameanza out of necessity, Maquire akipona Lindelof na Maquire watarudi kwenye namba zao (mimi nataka Tuanzebe na Maguire ndio waanze)
Siyo Axel na the Iceman?
 
Back
Top Bottom