Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

huwezi kuelewa mkuu na hutaki ujue, huu mfumo ndio umemuua city mechi 3 msimu uliopita, kafa pale pale Etihad mara 2, chelsea kama mara zote, spurs na wengineo. na mara zote striker wawili wanakuwa na mbio, asipokuwepo mmoja wa Martial na Rashford basi anapangwa James.

mkuu Kimpembe waulize Barcelona, hakuna Asiemjua anavyo dominate, Florenzi, Danilo na yule mtoto Abou wote walikuwa nyuma muda wote sababu ya hawa watu wawili, beki pekee aliyekuwa anapanda ni kurzawa, kama unafikiri hii ni miujiza walikuwa wakibaki wenyewe nyuma sawa.
Halafu pia kuna ile beki kukamia mchezaji mmoja..hii pia inakuwa advantage kwa wachezaji wengine kutengeneza channel zao
 
officialmwalubadu-___CGlHHfep2-2___-.jpeg
 
Naona hapa tunacheza na terms

Nimeuliza Pogba huwa anacheza mbele ya mabeki (in more defending role) au huwa anachezeshwa nyuma ya washambuliaji (in more attacking role)

Mambo ya CAM CDM, are just tactical terms
Central midfielder hakai nyuma ya strikers, anayekaa nyuma ya ushambuliaji ni CAM
 
Kwa matokeo haya namuona Solskjaer akiendelea kuwa kocha wa utd milele..Huwa naumia sana nikiona watu wanamsema De Gea vibaya leo atleast ametuonyesha kwamba tunaweza kumtegemea..Bissaka leo amefanya kazi nzuri sana hawa wawili wananifanya nilale vzr ucku wa leo ila Martial duh!Ngoja nilale tu..
 
Back
Top Bottom