At Paris
manchesterunited-___CGkxtTliGLy___-.jpeg
 
Jamaa ananikera Sana na hzo comments zake anaanza na ole out, au akimaliza anaweka ole out!

Roma haikujengwa siku moja, Ni swala la muda tu , kila kitu kitaenda poa , ok ole atoke , aje Nani ? Poch, ? Simione ? Allegry ? Wakija wanaguarrantee ubingwa season hii ???

Hahahaha

Mkuu.
 
Mkuu unashindaje hapo...Mata ni mpishi mzuri umemweka bench, James juzi kaonesha mpira mkubwa sana (alitiririka sana) ilitakiwa kwa njia yoyote Martial aanzie bench. Huyo Cavani hata benchi hayupo. Haka kakocha ni takataka kabisa.
Martial kwa kweli sina imani sana naye. Yupo too soft na hashughuliki uwanjani.

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Kikosi kizuri ,,

Baadae VBD/Mata na POGBA waingie kutia grisi ,,,,, ushindi upo jamaa wakicheza fresh na morali Kama last game vs Newcastle
 
Back
Top Bottom