The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Mtaongea mengi zaidi ya haya cz ndo mpira ulivyo na mashabiki wengi wako hivyo tukianza kushinda hubadilika na kuanza kusifia kila kitu.Ni sawa na mnunuzi wa Mchele akanunue chenga halafu aje alaumiwe mpishi kwa kupika bokoboko.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app

