Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa matokeo haya namuona Solskjaer akiendelea kuwa kocha wa utd milele..Huwa naumia sana nikiona watu wanamsema De Gea vibaya leo atleast ametuonyesha kwamba tunaweza kumtegemea..Bissaka leo amefanya kazi nzuri sana hawa wawili wananifanya nilale vzr ucku wa leo ila Martial duh!Ngoja nilale tu..
Lazy boy.
 
BUY.jpg
 
Mkuu wewe humpendi

Na hili ndio tatizo ninaloliaona kwa mashabiki wengi

Mfano kipindi kile cha Jose watu walikuwa wanaombea Man Utd wapigwe ili ku prove point kwamba Jose hafai

Inawezekana leo kuna mashabiki wa United wamejisikia unyonge/vibaya Man Utd kushinda kwa kuwa tu timu chini ya Ole imeshinda

Haitakiwi kumpenda kocha/mchezaji kuliko unavyoipenda timu yako na kushabikia timu ishinde au ifungwe just to prove your point
Wazee sema mpira bila unafki hauendi..wale wasio/tusio mpenda Socha tumpe hongera leo basi hata kinafki..he got his tactics correct..Au ni juhudi za wachezaji?
 
Ole hana Credit kwenye hii mechi, wenye Credit ni wachezaji wenyewe na hasa Telles, Tuanzebe, bissaka, Fred na Tomy
 
Kwa matokeo haya namuona Solskjaer akiendelea kuwa kocha wa utd milele..Huwa naumia sana nikiona watu wanamsema De Gea vibaya leo atleast ametuonyesha kwamba tunaweza kumtegemea..Bissaka leo amefanya kazi nzuri sana hawa wawili wananifanya nilale vzr ucku wa leo ila Martial duh!Ngoja nilale tu..
Umemsahau Tuanzebe

He was exceptional.. Nadhani he could top the list
 
Mkuu wewe humpendi

Na hili ndio tatizo ninaloliaona kwa mashabiki wengi

Mfano kipindi kile cha Jose watu walikuwa wanaombea Man Utd wapigwe ili ku prove point kwamba Jose hafai

Inawezekana leo kuna mashabiki wa United wamejisikia unyonge/vibaya Man Utd kushinda kwa kuwa tu timu chini ya Ole imeshinda

Haitakiwi kumpenda kocha/mchezaji kuliko unavyoipenda timu yako na kushabikia timu ishinde au ifungwe just to prove your point
Ole nampa time naamini bado ana kazi kubwa ya kufanya..we are not there aisee,badobado
 
Back
Top Bottom