Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
Kikosi ni kizuri kwa kweli..Mimi nadhani kama Ole kweli ni kocha bora basi atumie akili zote kupata best of it..Tuanzebe hewani mzuri sana pia ni mtulivu..Sio mbaya siku wakajaribishwaMimi ni kati ya watu ninaamini kwamba United tuna wachezaji wazuri, kwa Uingereza tupo miongoni mwa top 4 ya timu zenye vikosi vizuri
Mimi ni kati ya watu wanaotaka sana legendary mchezaji wetu Ole afanikiwe pia akiwa kocha
Tatizo la Ole hana consistence, amekuwa kocha mwenye mafanikio kwa mechi kubwa (timu kubwa) ambazo ni chache, ndio maana kuna wakati ninaamini ni kocha mzuri kwenye hamasa na man Management kuliko mbinu
Leo ametumia mbinu nzuri ya kuwaheshimu PSG na kucheza counter attack
Pia hakuweka sana high line ambayo kibelenge Mbape ndio huwa anataka
Ameweza pia kumdhibiti Neymar kutokana na tabia yake ya show game na kung'ang'ania mipira... Kila alipokaa na mipira sekunde mbili akajikuta amezungukwa na watu kama akina Fred na Tominay na kunyang'anywa mipira
Pia ameweza kuwatumia Axel na Shaw kwenye kuwadhibiti wakimbeza Mwenge wote wa PSG pindi unapopigwa mpira wa mbio mbio
My concern Tuanzebe leo ameanza out of necessity, Maquire akipona Lindelof na Maquire watarudi kwenye namba zao (mimi nataka Tuanzebe na Maguire ndio waanze)
Martial akizingua kuna Cavani..Kimsingi tumeanza kuwa na squad depth mzuri
★
★
★

