haichezi kifala, ni tactics tu, unbeaten ya mechi 24 tumeivunja leo, hawajawahi fungwa makundi toka 2004 uwanja wao.Hii psg inacheza kifala halafu man u wanashindwa kumaliza
Acha ujuajiKiuno kimevunjika kwa PSG, wanategemea mbio za Mbappe na Neymar, defensive imepwaya pia.
Utd wataponwza na kutegemea offside trick, DiMaria na Mbappe si watu wazuri.
Waki-press hard, goli zipo za kutosha ila mechi inaonesha kuwa na magoli mengi pia kwa timu zote.
Mwanzo ulisema hatushindiNi pointi tatu tu leo hakuna cha Neymar au cha Mbappe View attachment 1606741
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
SASA WA NINI HUYO, TUNATAKA MTU ALIYEKAMILIKA BHANAA..Bruno kapiga penalty sababu ya Martial, tayari amefanya kazi yake. na Ndio Martial ni striker mzuri kwenye counter Attack, sio mzuri kwenye cross.
nina imani na Ole kwenye Mechi kubwa . anajua kutafuta ushindi. hili kundi tunapita
unakumbukaOGS kafundisha mechi 4 tu Champions league kafungwa 3 kashinda moja
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
leo nimerudi kumjibu. 1-2Belo umeua hahahaha akirudi tena hapa nitag
Wanaanzaje kuunganisha wakati wamezidiwa tacticsInawezekana boss ila umtegemee Martial kwa counter? Telles na Bruno wamepiga krosi ngapi ngapi ndani pale na zinapita bila wenyewe?
PSG wakiunganisha timu pale kati, DiMaria na Mbappe au Neymar wanaiua UTD.
#GGMKikosi kizuri ,,
Baadae VBD/Mata na POGBA waingie kutia grisi ,,,,, ushindi upo jamaa wakicheza fresh na morali Kama last game vs Newcastle

Ilikua inaruhusu counter nyingi za man u. Kama forward ingekua extra careful ilikua na magoli mawili au matatu ya mtindo huo.haichezi kifala, ni tactics tu, unbeaten ya mechi 24 tumeivunja leo, hawajawahi fungwa makundi toka 2004 uwanja wao.
Watakuja kukupingaSio kwamba PSG ni wabovu, Man Utd wamewazidi uwezo... HAPA INABIDI TUELEWANE
Kama huamini katimu kako kacheze na PSG
Naona mmerudi mkiwa mmeficha mikia yenu baada ya aibu.Hii psg inacheza kifala halafu man u wanashindwa kumaliza
Hata aibu huna bro ?SASA WA NINI HUYO, TUNATAKA MTU ALIYEKAMILIKA BHANAA..