Nasikia waligombana na Bruno kwenye dress roomKumbuka tulitoa £80M kwa mchezaji kama Maguire.
Ukienda Serbia na hiyo hela unarudi na defenders wa maana wanne.
Maguire avuliwe kitambaa abaki kuwa mchezaji wa kawaida.
Bora tungebaki na Smalling kuliko kutoa hela nyingi hivi kwa mchezaji ambaye baada ya msimu mmoja tunatafuta replacement yake.
Maguire should deliver. Hatuna muda wa kubembeleza na hela ya kuchezea.
Tungekuwa na kocha kichaa, Maguire angekuwa anakula mbata akileta ujinga.
Katika kigezo cha umri,,Ibrahimovic alipokuja man u alikuwa na umri kama wa cavani,, nadhani uliona shughuli yake..Consider pia umri wake, demands za EPL (intensiveness) ukilinganisha na League 1, the Fact kwamba hajacheza muda mrefu na anaikuta ligi iko katikati (fitness).
Nadhani wameangalia sana vitu hivyo ndiyo maana amepewa mkataba wa mwaka 1 mara 2.
huyu dogo anajua ni kama tu Djames kipind anafika man utd,bt shida ni kwamba Djames alikua kama huyu kocha akamdidimiza kipaji chake je vip kuhusu huyu pia? ukiangalia kwa umakini utagundua huyu ni daniel james wa pili hivo bado tunarud palepale ila kocha afukuzwe tu hana jipya kiufund. Yani eti pogba, Djames, bissaka, maguire wote hawa hawajui na hakuna kocha alichowaongezea sasa hata bruno ameanza kupoteza makaliHuyu Mimi hata YouTube tu sijaona kama ana kitu cha ziada cha kufanya nistuke!
Good idea..Maafisa wakuu wa klabu ya Manchester United wamewasiliana na aliyekuwa kocha wa Tottenham Hotspurs Mauricio Pochettino iwapo watamfuta meneja Ole Gunnar Solskjaer. (Star)
Kuna tofauti kubwa ya D james na huyu dogo.huyu dogo anajua ni kama tu Djames kipind anafika man utd,bt shida ni kwamba Djames alikua kama huyu kocha akamdidimiza kipaji chake je vip kuhusu huyu pia? ukiangalia kwa umakini utagundua huyu ni daniel james wa pili hivo bado tunarud palepale ila kocha afukuzwe tu hana jipya kiufund. Yani eti pogba, Djames, bissaka, maguire wote hawa hawajui na hakuna kocha alichowaongezea sasa hata bruno ameanza kupoteza makali
Tatizo si pesa.. yeye mwenyewe angekubali kuja united?Siku Suarez anaenda AM, niliuliza humu, mbona ameuzwa kwa €7M? Very cheap actually.
Nikajibiwa kwasababu ni mzee.
Nadhani Suarez alikuwa best option kwa central striker.
Woodward ana matatizo yake lakini tusimtwishe mzigo wa kusema amenunua mchezaji yoyote aliye sokoni without consultation ya Mwalimu. Kwa hili sitaki kuamini.Yaani Solkjaer kazunguka duniani kote second option yake kwa Sancho awe Adam Traore ??
Haiwezekani hapa ni kwamba Woodward kashindwa kufanya usajili kaamua kununua mtu yoyote aliyeko sokoni bila hata consultation na Mwalimu.
Kimsingi Ole mpaka sasa Van Gaal alionewa, Mouringo alionewa pia na sasa ni zamu ya Ole kuonewa na Woodward.
Muda utasema.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Sancho kwa hiyo bei naungana na bodi kutomnunua. The only thing nailaumu ni kutokua na alternative kwa miezi yote mitatu. Hoi inaonesha ni kwa jinsi gani bench la ufundi na bodi kwa ujumla walivyo clueless na naweza kusema hawajui what they actually need as a team.lakini gharama za sancho ni kubwa sana na pengine ed hakutegemea kuwaona dortmund wakiwa na msimamo usioyumba ndio maana uongozi wa klabu wamekuwa wakisita kufanya uamuzi.
ukiachana na sancho bado naamini united hatukuwa na target mbadala
Sikumbuki Utd kuwa na hiyo nafasi. Hawakufuta, ila wanakataa isiwepo kwa kisingizio bench la ufundi work hand in hand na bodi hivyo football decisions zinafanywa na watu wa mpira (bench la ufundi)Niliwahi andika hapa juu ya alichosema Van Gaal.
Alisema "Pale Bayern CEO ni mtu wa mpira anajua nini kinatakiwa kifanywe na nini hakitakiwi. Wakati hapa CEO ni mtu aliyekua akijihusisha na uwekezaji benki. Nafikiri unaweza kuona tofauti"
Mwekezaji wa benk alifuta nafasi ya Director of Football na kujikaimisha yeye. Mlitarajia nini?
Source: Trust Me Dude.
Kwa kuwa Ole ana UCL pale Molde alipotoka sio?Asije
Pale Spurs kafanya lipi la maana zaidi ya kufika fainali UCL
Hana hata kikombe cha Carabao
Ole hana mfumo.Yes sancho lilikuwa chaguo la kwanza la solskjaer pengine mfumo wake ungekaa sawa
Man, issue ni kujulikana au kuujua mpira na kuwa na potential ya ku develop?Wangemsajili hata David Brooks wa Bournemouth siyo hawa watoto wasiojulikana.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kwa position wanayaotakiwa kucheza tulihitaji mchezaji ambaye tayari ameshaproveMan, issue ni kujulikana au kuujua mpira na kuwa na potential ya ku develop?
Bodi hiyo hiyo inayomwangusha Ole ndio hiyo hiyo Ole anatoka na kusema Utd iko under a good leadership. Ole ni hypocrite.
Hata LVG naye hakuiponda bodi mpaka alipoachishwa kazi.Bodi hiyo hiyo inayomwangusha Ole ndio hiyo hiyo Ole anatoka na kusema Utd iko under a good leadership. Ole ni hypocrite.
Cavan, tunatest mitamboCavan kutua united ni ushauri wa RVP, la sivyo vikina masho vingendelea na status yao
View attachment 1592016
Shabiki wa Chelsea anashauri kuhusu kufukuza makocha, yaani Chelsea.!Man u ina matatizo makubwa:-
Kuna matatizo ya Tajiri
Kuna matatizo ya management
Kuna matatizo ya kocha
Kuna matatizo ya wachezaji
Kuna matatizo ya mashibiki.
Mtafukuza makocha mpaka lini? Tatueni tatizo la msingi (Uongozi wa club).
Hapo Sawa. Hizi sajili zinaonesha ni jinsi gani hatuna mipango ya nini tunataka and when. Hatuwezi kusubiri hadi deadline day kusajili watoto wa academy.Kwa position wanayaotakiwa kucheza tulihitaji mchezaji ambaye tayari ameshaprove
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app