Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,057
- 2,637
Utopolo fc wa Epl watakula 4G leo






Maneno ya kujifariji haya.......Man kazidiwa ndio ukweli wenyewe.Nadhani Ole kaweka nguvu kubwa top 4.
nadhan ameover achieve!...... under pressure hana mbinu huyu kocha wenuNadhani Ole kaweka nguvu kubwa top 4.
Yaani acha 2 wakamuona kama mkombozi wao kumbe hamna kitu ni mchezaji wa msimuHuyu alipoanza kusajiliwa alibahatika kupiga vishuti Viwili vitatu ikawa tafrani sana humu
Mwaka wa shetani kizazi jeuriMwaka wa tabu
Uwiiiiiiiiiiii3-0 bila mama
Zima TV ukalale mpenzi![]()

Mnaanza kujifariji ngoja Leicester city atakufa na wewe mechi ya mwishoNadhani Ole kaweka nguvu kubwa top 4.
Kila mechi ina plan yake,City ukijifanya kufunguka unakula za kutosha.Arsenal mwenzangu kama upo humu hebu twende kwenye uzi wetu tukatafakari tunadeal vipi na Chelsea.
Option ya kupaki basi nahisi inanoga kipa sisi tunaye tofauti na wenzetu hawa au mnaonaje?
Jamani Bruno kaenda chooni au ??