Nani hampendi Special One??..Mpira bila unafki hauwezi kwenda..
One man down..Bado mmoja wa saa mbili
GGMU..
Nani hampendi Special One??..Mpira bila unafki hauwezi kwenda..
One man down..Bado mmoja wa saa mbili
GGMU..
It's like tuna allergy na top four..Utashangaa siku na westham tunachemsha utazania wana BET vile
Ball possession 33 kwa 67 ya Leicester na kashapigwa vitatu..Huyo ndo Mourinho..Jamaa wamepigwa mpaka goal difference imekuwa Level na yenu.
Wameniangusha sana hawa Leicester.
Ama kweli mpira ni mbinu.Ball possession 33 kwa 67 ya Leicester na kashapigwa vitatu..Huyo ndo Mourinho..
Gemu ijayo tuki lose itabidi wachezaji wapigwe bakora sita sita kabla hawajatoka uwanjani.
Nawahurumia sana Leceister city juhudi zao zote wanaishia njiani so sad.2 bila tayari.
Leicester City top 4 inayeyuka hivi hivi.
Ukiondoa Jimmy Vardy mchezaji wao mwingine muhimu ni James Madisson toka aumie wanapata matokeo kwa kubahatisha bahatisha tu.Jamaa wamepigwa mpaka goal difference imekuwa Level na yenu.
Wameniangusha sana hawa Leicester.
Nawahurumia sana Leceister city juhudi zao zote wanaishia njiani so sad.
Hii timu itatoboa kweli?
Toka January hawakuwa na matokeo consistent alipoumia Wilfred Ndidi.Walikuwa mbali sana kipindi kile cha X Mass, jinsi walivyoporomoka huwezi amini aisee.
Toka January hawakuwa na matokeo consistent alipoumia Wilfred Ndidi.
Kuumia kwa James Madisson kumewaathiri sana toka restart hawapati matokeo consistently.
Dah so sad
Kwa jinsi walivyopambana kujikuta Europa ni failure kubwa sana.Injuries zina cost sana kwenye sports.
Watacheza Europa.
Maana ndo bahati ishakuwa siyo yao msimu huu.