Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sema jamaa walikuwa hawatengenezi nafasi hatarishi, kipindi cha pili wame win sana second balls, ila possession yao haikuwa nzuri.

Nyie mlikuwa kama mmechoka au mmetosheka na gap la goli 1.
nazungumzia zaidi style yao ya kiuchezaji inatofautiana sana na timu nyenginezo. kumbuka hawa jamaa round ya kwanza walifungwa magoli 9 na leicester.
mwalimu amewabadilisha sana na kwa sasa wapo nafasi ya 12 na mzunguko wa pili wamefanikiwa kuwafunga man city, leicester na chelsea tena ndani ya stamford bridge
 
nazungumzia zaidi style yao ya kiuchezaji inatofautiana sana na timu nyenginezo. kumbuka hawa jamaa round ya kwanza walifungwa magoli 9 na leicester.
mwalimu amewabadilisha sana na kwa sasa wapo nafasi ya 12 na mzunguko wa pili wamefanikiwa kuwafunga man city, leicester na chelsea tena ndani ya stamford bridge

Msimu huu game zao nimeangalia chache sana, hiyo ya Chelsea niliiona.

Kama hivyo kweli kocha kafanya kazi.
 
Msimu huu game zao nimeangalia chache sana, hiyo ya Chelsea niliiona.

Kama hivyo kweli kocha kafanya kazi.
1594687165989.png
 
Kwa mara ya kwanza mashabiki wa Man Utd wanawaombea afya njema na fanaka kwa wachezaji na uongozi wa Liver na Tottenham, Lengo la maombi haya mazito ni Liver wamzibiti Chelsea na Tottenham wamzibiti Leicester.
Nakuambia, wiki hii mpaka tar 22, Manure watapiga magoti Anfield wakiomba msaada hata kwa kuuza uhuru wao kama wanavyofanya wanasiasa wakati wa kuomba kura.
Don Clericuzio msiwasikilize hao, wakishapata wanachotaka MDOMO unakuwa mkubwa sana
 
Tatizo kocha amejipa presha za kipumbavu kabisa, una pogba una Matic una Bruno unawezaje kucheza mpira wa kukaba mbele ya Southampton?
Ile mechi waliotukaba walikuwa Pogba na Mason Greenwood hawakuwa mchezoni pamoja na matukio wachache aliyoyafanya pogba.

Martial na Rashford walitupotezea nafasi tatu za kufunga magoli kwa uchoyo wao tu wa kutaka kufunga achilia mbali nafasi ile aliyokosa Rashford akacheza keeper.

Soton walitupigia pindi sana kabla ya kuja kwenye game walichokifanya ni kumtarget Pogba kama weaklink yetu kwa kumkaba na kumnyima space ya kufanya maamuzi.

Walimkaba Bruno asifanye maamuzi kwa haraka lakini wakablock passing lanes zote kwenda kwa Martial na Greenwood.

Kingine waliamua kukabia juu na kuwapress sana centerbacks wetu kiasi cha kutufanya tushindwe kufanya build up kuanzia chini badala yake tukajikuta tunapiga Highballs kwenda mbele hii iliwafanya midfield wetu wawe tortured kutafuta mipira ya juu.

Soton walituwin kwenye kucheza second balls na speed wao ndiyo walikuwa wanaamua matukio mengi uwanjani yaende vipi hii ilikuwa ni hatari sana kwetu hasa wanapofanya transition kuelekea golini kwetu.

Jana Maguire alikuwa kama Amateure mara nyingi kila alichokifanya kilipelekea second balls kwa Soton na kuendelea kutupa pressure kubwa sana wakati wote.

Nani alipaswa kutoka na dakika ya ngapi ? Mimi niliona Greenwood hakufanya kazi yake sawa sawa jana na alipaswa kutoka mapema kabla hata ya Pogba pengine ingesaidia kumfanya Ryan Betrand asionekane shujaa.

By the way Pongezi zangu zangu ziende law Ralph Hassenhuttl huenda aliangalia mara mbili mbili ile mechi yetu na Norwich na akajua madhaifu yetu yako wapi.

Mechi ya jana ilinirudisha nyuma mpaka kwenye finali ya UEFA champions League mwaka 2011 kati ya Bayern Munichen na Chelsea kazi alioufanya Romeu jana ilikuwa haitofautiani na ile aliyoifanya katika mechi ile ya finali.

NB
Nilisema toka mwanzo katika mechi tulizokuwa tumebakiza nilikuwa nawahofia Southampton kuliko timu nyingine yoyote kwa sababu ya historia yao dhidi yetu.
 
Mc cane
Joanah
Kuna siku niliwaambia itakuja kutokea siku tu mtaishabikia Liverpool kwa dakika 90 na hiyosiku imefika.
Tar 22.7.Mtake msitake mtaishabikia Liverpool na Uefa tutaamua sisi mwende au msiende namkibisha Tutavivuruga.

Tulia mchumba

Mimi kushabikia liver haitakuja kutokea katika ulimwengu huu hata huko mbinguni
Hata ikitokea Manchester United club imefutwa katika ulimwengu wa soccer

Ni heri nishabikie kina Sunderland kule na vi hull city
 
Back
Top Bottom