Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Huu ndiyo muda corona inatakiwa irudi tusimamishe ligi.
Matokeo yabaki hivi hivi.
Matokeo yabaki hivi hivi.
Wameni discourage sn leo, npo nje cwez kulala hapaHawa wasenge waache usenge mammmae zao
Manchester wanaboa asee!!kiboya boya hivi hivi tutapoteza nafasi ya tatu
Pumbavu!
Forget it!
Ndoto za alinacha tena za mchanaMimi napambana na Lecister, sio Chesi wa top 5
Najua kwa Wolves na Liverpool utadondosha point si chini ya 4
Mimi nitazikusanya pote zilikobaki
Nakuonea huruma, City wameshinda rufaa yao![]()
Unaomba msaada sasa kwa watu wakusaidie,Baada ya maji kufika shingoni.Mimi napambana na Lecister, sio Chesi wa top 5
Najua kwa Wolves na Liverpool utadondosha point si chini ya 4
Mimi nitazikusanya pote zilikobaki
Nakuonea huruma, City wameshinda rufaa yao![]()
Sioni haja ya kumlaumu Rashford pale.Martial unasoma hata hisia zake baada ya mechi zinaonekana. Nasikitika. Rashford angeacha utoto tulikuwa na goli. Lile alilolegeza mguu. So sad.
Ndoto za alinacha tena za mchana
Message sentSasa ni usiku mkuu, sio mchana, tatizo wewe huwa unakimbiaga mambo yakiwa magumu
Nadhani mashabiki wa Chesi wote mnafanana
Ligi haijaisha tuliza wowowo..Naam
Nafasi yetu ni ya tano tu na sub za Ole leo zimefail
Tatizo kocha amejipa presha za kipumbavu kabisa, una pogba una Matic una Bruno unawezaje kucheza mpira wa kukaba mbele ya Southampton?Hizo tutashinda labda kwa Crystal palace ila hao wengine tutashinda tu.
Unaomba msaada sasa kwa watu wakusaidie,Baada ya maji kufika shingoni.