Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mc cane
Joanah
Kuna siku niliwaambia itakuja kutokea siku tu mtaishabikia Liverpool kwa dakika 90 na hiyosiku imefika.
Tar 22.7.Mtake msitake mtaishabikia Liverpool na Uefa tutaamua sisi mwende au msiende namkibisha Tutavivuruga.

Hawa jamaa walijiangusha msimu uliopita kwa Man City, tutakaa kikao cha kuwajadili siku kadhaa ili tuamue kuwasaidia au la.
 
Screenshot_20200714-004625.jpg
 
Nafikiri pressure ya kudhamiria kuingia nafasi ya 3 imewapotezea utulivu wachezaji. Pogba (afadhali ametolewa), Lindelof na Bruno wote wapo nje ya mchezo leo.

Inaonekana wachezaji wenu ni wa viwango vya chini sana,top 4 tu pressure juu ingekuwa mechi ya kuchukua ubingwa si wangezimia kabisa.

Wanashindwa kuendo pressure kwenye top 4?
 
Kuna watu mna mioyo myepesi sana

Soton wamecheza vizuri (posission wise), sisi tumecheza vizuri (in chance creation)

Tumepata nafasi tumeshindwa kutumia, lakini isiwe sababu ya kulaani timu, yaani ibaki namba 5 kisa tume draw mechi moja,

Kuna timu tunazonyang'anyana nazo nafasi, kila siku zinadondosha points 2 au 3

We are 1 point away from top 3,we are 3 goals away from top 4

Ni kweli tumezoea kushinda, ni kweli imetuuma lakini, tusiwe wepesi kujihukumu kubaki namba 5, maneno yanaumba

Nafasi yetu ni ya tano tu na sub za Ole leo zimefail
 
Hahaha, hatuna shida na record kwa sasa. Tulikuwa tunataka ubingwa tu.

Inatosha.

Namwona Klopp akipanga under 23 siku hiyo, Chelsea washindwe wenyewe tu.
Nakuambia, wiki hii mpaka tar 22, Manure watapiga magoti Anfield wakiomba msaada hata kwa kuuza uhuru wao kama wanavyofanya wanasiasa wakati wa kuomba kura.
Don Clericuzio msiwasikilize hao, wakishapata wanachotaka MDOMO unakuwa mkubwa sana
 
Juzi baada ya Sala kuulizwa kuhusu Golden boot anasema let us see game by game

Kati ya vitu ambavyo mameneja au wachezaji wanavitamani lakini wanajifanya kama hawavitaki ni records

Liver akipigwa, hata Wolves au Norwich wanaweza kumnyoosha Chesi, timu yenyewe tia maji tia maji

Hahahahahahahahah
 
Tunawajua hawa, sasa hivi tu tumeshaanza kuambiwa Bruno apewe uchezaji bora EPL.

Sasa wakiingia top 4 hapatakalika.
 
Juzi baada ya Sala kuulizwa kuhusu Golden boot anasema let us see game by game

Kati ya vitu ambavyo mameneja au wachezaji wanavitamani lakini wanajifanya kama hawavitaki ni records

Liver akipigwa, hata Wolves au Norwich wanaweza kumnyoosha Chesi, timu yenyewe tia maji tia maji
Manure tia mbolea tia mbolea hamna kitu pale la sivyo mngekuwa juu yetu siku nyingi sana
 
Juzi baada ya Sala kuulizwa kuhusu Golden boot anasema let us see game by game

Kati ya vitu ambavyo mameneja au wachezaji wanavitamani lakini wanajifanya kama hawavitaki ni records

Liver akipigwa, hata Wolves au Norwich wanaweza kumnyoosha Chesi, timu yenyewe tia maji tia maji

Ila game yenu dhidi ya Crystal Palace ndiye mwamuzi mkubwa, mkishinda hiyo nina uhakika top 4 mnaingia.

Maana mna game na Leicester ambao kwa sasa wanafungika.

Leicester ana game na Sheffield, Tottenham and then Man United.

Hatoboi.
 
Ralph Hasenhuttl sidhani kama atadumu pale southampton kwa zaidi ya mwaka mmoja .....
southampton wameimarika sana kiuchezaji hususani pressing na balls won in the opposition's side

muda wote nilikuwa natetemeka (walitukamata tokea dakika ya kwanza)
 
Sema jamaa walikuwa hawatengenezi nafasi hatarishi, kipindi cha pili wame win sana second balls, ila possession yao haikuwa nzuri.

Nyie mlikuwa kama mmechoka au mmetosheka na gap la goli 1.

Poleni, ndiyo inavyokuwa hivyo mnapokimbizana, wapinzani wanapoteza na nyie mnapoteza pia.

Imagine, timu zote 3 zinazopambana kwenye nafasi ya 3 na 4 hakuna iliyoshinda weekend hii.
 
Back
Top Bottom