Anarud mchezon sema na mwl mkubwa sana ulePogba leo kawa nyoro kweli. Atakuwa hakushinda kambini huyu.
Pogba leo hayuko vizuri kabisa, akili kama haiko uwanjani vile


Anarud mchezon sema na mwl mkubwa sana ule
Tunaanza kuhesabu. Armstroooong
We need talents. Sio wachezaji wanaouzwa kwa hypes za media za waingereza kama kina Lingard.Back up ya Pogba na Bruno ni tatu tu.
1 James Madisson
2 Donny von de Beek
3 Dominick Szoboszlai
Kwanza ni vijana wachanga na ni versatile players huyu Grealish sometimes anajikaba mwenyewe tu.
Japokuwa msimu huu katengeneza chances za kufunga 80 lakini his tactical quality ina walakini kidogo.
Hao niliowataja ni perfect upgrade ya kina Lingard, Pereira na Juan Mata ambaye umri umeenda sana.
Japo possible signing anaweza kuwa huyo Grealish kwa sababu ya kuwa cheap kuliko Madisson na media hype zinavyompandisha.
★Kuna jamaa mmoja wa Chelshit kaja kibanda umiza anatamba ety anatoa dau la100k kwa 10k kama Manchester United Itatoka inaongoza kipindi chakwanza Naona kabisa hii 100k nishaanza kuipa Ma budget Naongezea Nichukue Jersey Mpya Ya Red Devil's Kwa ajiri ya tarehe 18/07/2020 na Chelshitraha hizi★
bora wameenda kupumzika, akatulize akili. anarukaruka tu.Pogba leo kawa nyoro kweli. Atakuwa hakushinda kambini huyu.
🤣🤣Umeshachukua screenshot ya mwisho mwisho ya Man nafasi ya 5,au ndio uliishachelewa?
Unauziwa beki wa kawaida kama Maguire kwa £80M. Unaambiwa Sancho anagharimu £130M.Bavaria,
Una mtizamo sawa na mimi. Vipaji vya kiingereza huwa sina imani navyo kabisa, hawa mimi ktk recruitment model yetu ninge-wawekea red flag unless wawe highly recommended na technical team ndo nawasajili. Nje ya hapo ningekuwa nawapandisha kupitia academy system kama Mason Greenwood na Marcus Rashford.
Tunapaswa tutafute vipaji nje ya hawa waingereza kama tulivyofanya kwa Bruno. Binafsi naona waingereza wanakuzwa mno kuliko thamani yao na uwezo wao halisi pia. Mfano halisi ni huyu huyu Jack Grealish ana thamani kubwa kuliko hata Bruno Fernandes,
Comparisons;
Jina Grealish Bruno Umri 24 25 Nafasi Kiungo Mshambuliaji Kiungo Mshambuliaji Msimu huu Mechi 33 Magoli 7 Assists 6 Mechi 10 Magoli 7 Assists 6
Mchezaji bora wa mwezi (Feb, June)Tuzo 0 Mchezaji bora ligi kuu ya Ureno(2018,2019)
Mchezaji bora wa Ureno, 2019Timu ya taifa Hajawahi kucheza Mechi 19 Goli 2
Sasa jiulize inakuwaje mchezaji mwenye uwezo mdogo kama Grealish kumlinganisha na Bruno, thamani yake iwe Pound 80M na Bruno Pound 67M? Nimeona watu wanasema ni backup ya Bruno, C'mon buddies! Kwa maamuzi haya sioni busara ya matumizi ya pesa. Huwezi kununua mchezaji wa backup kwa pesa nyingi kuliko mchezaji wa kikosi cha kwanza. Hii Pound 80M ni kheri tuwape scouts wetu assignment watuletee kipaji kinachoendana na hiyo thamani.
Kama Bruno tumempata kwa Pound 67M, vipi kuhusu Pound 80M (Aston Villa wanayotaka tuwape)? Hii assignment wanapaswa kupewa hao hao scouts walio-file report Bruno watuletee mtu mwenye thamani halisi ya P80M. Hata Jadon Sancho Burussia wame-inflate thamani yake halisi. Hata James Maddison same WhatsApp group, they are all inflated.
mkuu umefanya nicheke sana, kweli vocha ya 250 au sijaelewa?Vipi mkuu nirushie hata vocha ya 250
We jamaa unatafuta umaarufu humu..nakuona siku nyjngi sn unaongea upuuzi..Nyie nyumbu leo mnakalia