Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,532
Sub haikufanywa baada ya Brandon kutoka
Kuna mtu jana nilimwambia tunacheza pungufu, akasema kocha kaamua tucheze pungufu [emoji1]
Mimi nikamwambia sub zimekwisha, nadhani sub zinazoruhusiwa ni 5,lakini strictly moja ni ya kipa

Walioingia ni Fred,James,Scot na Brandon..so alikuwa ana Sub moja ya kufanya