Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Screenshot_20200714-000429_Chrome.jpg
 
Kocha kazngua kufanya sub ya pogba coz 3rd possession ya magol ya man u imetokea kwake ndye m2 mwny uwezo wa kupga long ball kwa rashford na kina martial kwenye counter kumfanyia sub n makosa hata kama alifanya kosa tukafungwa gol kwa kwanza pili OGS amefail kucheza watu 10 wakat unajua unahitaj point 3 muhm hili ndo kosa kubwa kuliko hlo la kwnza pumbavu kabsa OGS kwa kuniharbia usingz wang
 
Back
Top Bottom