Kocha katuzingua leoTugange yajayoo..
Stop quoting me u cunt.Punguza hasira pia acha matusi, hii ni burudani tu.
Nilisema tangu juzi.Man U ya miaka hii pale ambapo inatakiwa ipande ndio inafungwa. Hii hali nimeifuatilia muda mrefu sana. Naomba hili lisijitokeze.
KWAHIYO TUMEKUBALIANA KUWA MANCHESTER UNITED NI BAISKELI YA KUNOLEA VISU INAPIGA KELELE SANA LAKINI IPO PALE PALE .Usisahau kuiposti hi kesho mida ya SAA 6 usiku
Ishu co pogba kutoka ila issue ni presha za kipumbavu za kocha, tng mpira unaanza kamshusha pogba chini unategemea nini, yn leo eti alikuwa anacheza kwa tahadhari ss unacheza kwa tahadhari na Southampton kweli?Upuuzi.. Pogba tho alikua anazingua ila alikua ni msaada kuliko huyu Fred. Makosa makubwa sana aliyofanya kocha kumtoa
Ishu co pogba kutoka ila issue ni presha za kipumbavu za kocha, tng mpira unaanza kamshusha pogba chini unategemea nini, yn leo eti alikuwa anacheza kwa tahadhari ss unacheza kwa tahadhari na Southampton kweli?