sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Wale wakina tammy abraham monson mount wa chelsea wnanaumri gan
Huu ni zaidi ya uchawi
Tatizo wachezaji wengi ni watoto na siyo threat kwa timu yoyote.
Kocha mwenyewe hajielewi unawezaje kutumia mfumo mmoja mechi nane halafu zote unapata matokeo ya aina moja bila kufanya mabadiliko ?
Dirisha la usajili lilipita bila kufanya replacement ya wachezaji waliouza na hakuwa na mpango wa kununua mwingine alitegemea nini ?



