Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Update :Tumecheza mechi 6 kati ya 38 tumeshinda mechi 2 draw mechi 2 tumefungwa mechi 2
Tumefunga magoli 8 na tumefungwa magoli 6 na tuna point 8
Liverpool ameshatuacha point 10 ,Man City ametuacha point 5
Update :Tumecheza mechi 8 kati ya 38 tumeshinda mechi 2 draw mechi 3 tumefungwa mechi 3
Tumefunga magoli 9 tumefungwa magoli 8
Liverpool wametuacha point 15 ,Man City ametuacha point 7,Arsenal ametuacha point 6
 
Mnaeza beba yule left footed, centre back wa bournemouth? Pesa yake tu hamkueza mkaenda kimbizana na wanaotafuta kustaafu!
Mou mambo ya bargain kama jeans za kariakoo hawezi!
Mkuu yule mbona anauzwa £30m , tuliachana nae, summer tuliweka mezan kwa Dayot upemacano wa Leipzig £60m wakachomoa .

Luiz tumemchukua kwa ajiri ya short term , now tunafukuzana na Isa diop, Dunk , upemacano hao wote hawapungui £45m nakuendelea .

Mou akija atafanya kazi vzr ,sasa hiv tuna watu wa mpira , Ni kocha tu hatuna ,
 
Waangalie waliowazunguka: kante , willian, jorginho, barkley, kovacic na odoi. Hawa wote wanauzoefu mkubwa na ligi ngumu. Lakin itazame man u watu kamaatic, pogba, herrera, ma wengine ambao ndio wenye uzoefu wanapigwa viata, wengine wameondoka na wengine viwango vimeshuka.
Herrera kaniuma sana kuuzwa nje ya Epl kwa akili na mzuka aliokuwa akijituma nao Man Utd
 
Mkuu yule mbona anauzwa £30m , tuliachana nae, summer tuliweka mezan kwa Dayot upemacano wa Leipzig £60m wakachomoa .

Luiz tumemchukua kwa ajiri ya short term , now tunafukuzana na Isa diop, Dunk , upemacano hao wote hawapungui £45m nakuendelea .

Mou akija atafanya kazi vzr ,sasa hiv tuna watu wa mpira , Ni kocha tu hatuna ,
Wakat mnangangana kuwaleta mmojawapo, Pepe mumtoe kwa Mkopo Leeds united kama watamtaka!
 
Haya ni mapito tuu.

Kosa kubwa saana ni swala la watu kuamini kwamba ili man u ifanikiwe inahitaji aje mtu wa kurestore zile philosophy za sir alex. Au mtu mwenye kuijua vema united. Yan mtu anaekuja kuishi chini ya kivuli cha united. Hapo lazima tufeli tuu.

Sir alex alikuwa mjanja mjanja tuu timu inaweza kucheza vibaya na ikashinda alikuwa na average players but anashindana.

Man u inahitaji mtu mpya mwenye pholosophy zake mpya aunde timu upya sio kurudisha old philosophy ambazo haziwork out kwenye modern footbal.

Man u iache tabia ya kuwabeba watu wenye asili ya great britain. Vile alivyo kuwa anaandamwa lukaku ndio hivyo hvyo rashford awajibike.


Tutafute world class coach. Sio makocha wa field kama ole. Yupo kazin wakati yeye bado anasomea mbinu
Wewe ss umeongea point.. Wa2 weng wanatk eti anaekuja aje na mpr wa Figgie ile ilikua ni era ya Feggie na mpr saiv kadri sik zinavozid kwend philosophy zinakua developed na Man u inahitaj m2 ambae tactical yuko vzr sio hawa wahamasishaji kwakua ni kijana wa nyumbani basi mnampa tu na yy ajipime uwezo wake..kwa ufupi washabik weng wa Man hawatak kuamin lkn kipind wanacho pitia kitakua ni kiref sna bila ubingwa wa ligi ka Cha Liverpool
 
Kwa matokeo haya Man United, Thamani ya Jose Mourinho inazidi kupanda!
Yupo zake france anaangalia mech ya lille ,anakwambia toka mlivyomtimua kijiwe chake sana ni mech za lille , anakwambia Emery anashindwa kumtumia pepe , maana yeye kamuangalia sana
Screenshot_2019-10-06-22-57-29.jpeg
 
Ki Ole kinajifanya ni Fergie-Lite..kishenzi kabisa

Ni muda wake kusepa,hili soka la kubahatisha halina nafasi..

Tuanzebe anaweza kuwa mzuri..

Mata naye amechoka tayari..hakuna alilolifanya leo zaidi ya kumkwepa yule mchezaji wa Newcastle

√Scot McTominay ni mpambanaji ndio lakini anafika level ya kiungo wa kuweza kubalisha game kwa ubunifu na uwezo mkubwa wa akili??..

√Chongy utafikiri hali chakula..very very poor..
 
Man Utd wanahutaji points nyingi kupanda juu kuliko kushuka daraja.

Nina uhakika 100%, Ole akibaki mpaka mwisho wa msimu, United inashuka daraja. Mechi 3 zijazo zitatuweka kwenye nafasi nzuri sana ya kushuka daraja.

Wachezaji wengi wameshafika mwisho wa viwango vyao, imebaki kuwaonesha mlango wa kutokea Mata, Rashford na Lingard wakiongoza njia.

Uingereza hakuna vipaji, kuwategemea wazawa ni tatizo kubwa sana. Man Utd imeanza kufa kwa kitendo cha kuwategemea wazawa.

Binafsi sitaki Ole aondoke. Nataka abaki mpaka mwisho wa msimu. Tupime uwezo wake halisi.
 
Update :Tumecheza mechi 8 kati ya 38 tumeshinda mechi 2 draw mechi 3 tumefungwa mechi 3
Tumefunga magoli 9 tumefungwa magoli 8
Liverpool wametuacha point 15 ,Man City ametuacha point 7,Arsenal ametuacha point 6
Tunahitaji point 6 kushika mkia ambazo ni chache sana.
 
Yupo zake france anaangalia mech ya lille ,anakwambia toka mlivyomtimua kijiwe chake sana ni mech za lille , anakwambia Emery anashindwa kumtumia pepe , maana yeye kamuangalia sana View attachment 1225377
Hii mechi ilikata droo! Kuna dogo mmoja wa Lille, ni striker anaitwa Victor Osimhen nahis anamfatlia, hata mech ya chelsea kafunga pia...kweny ligi yao ana goli 7 kwa mech 9.
Mou hata last season alienda pale!
 
Mkuu Ole alikosea kutokusajili midfield nzuri.
Unaondo Fellain, Herrera, Sanchez, Lukaku halafu unafanya replacement ya kumpandisha Greenwood na Chong ??
Ole sijui hata hilo bench lake la ufundi huwa wanamshauri mini?

Mfumo wake wa 4 2 3 1 umefeli lakini bado amestick nao tu duh.
"It's a journey we've started on and the culture is getting there. I can't give you any time but we're getting there. Huyu jamaa wa Norway anakusudio Naya na hii timu....ngoja tuone tunapoenda
 
Back
Top Bottom