ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,686
- 24,721
Nimewaangalia mpaka machozi yamenitoka aiseee hawa jamaa ni ile united lialia kabisa yaani......
Siti zao zimekuwa reserved kwa kampuni fulani, wamehamia Siti nyengine.