Tatizo ni ole ....angekua mou wangamsengenya sana hii class ya watoto wa feg..Yani Man utd inacheza kwasabb inatakiwa icheze. Na wachezaji wapo ndani kwasababu wanahitajika kuwa 11 ndani.
Huyu kocha ana agenda ya siri nini angalia sub zake nasema Manchester kama ajashuka daraja mwaka na sura ya kitoto sijui
Nadhani tunacheza na mabeki watatu nyuma mkuu. Ila Ole anaishusha hii timu daraja vizuri kabisa😂😂 |
Kikao cha dharura ukumbi wa Pius MsekwaView attachment 1225223
Huyu kocha ana agenda ya siri nini angalia sub zake nasema Manchester kama ajashuka daraja mwaka na sura ya kitoto sijui
Mkeka umetoa.na leo lazima nipige pesa nimemuua mancity nimempa chelsea nimempa arsenal na nimemuua na man u kwa newcastel1X kwa elfu10000 imetoka M1na elfu 52
Nauliza Young ametolewa kwa sababu zipi ameumiaSasa unataka aingie nani wakati wachezaji wa sub aliuza wote akabakiza watoto ?



Nauliza Young ametolewa kwa sababu zipi ameumia
Mwisho alikuwa anapiga Cross au kocha kachukia sababu anapiga Cross arudishi mpira nyumaHata kama angebaki hakuwa na impact yoyote zaidi ya back pass tu