Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tatizo la Man u ni vijana wadogo kubebeshwa mizigo mikubwa.
Rashford hawezi kufanya aliyofanya van persie au tevez
Pereira kwa Giggs
Tominay kwa Scholes
Maguire kwa vidic
Lindelof kwa ferdinand
Martial kwa Rooney

Wachezaji wa Man u wa sasa ni wa kiwango cha timu iliyo katikati mwa msimamo, hata kama akibadolishwa kocha ni sawa na kazi bure.
 
Kwa hiyo tatizo ni kocha?
Sio kocha ni mfumo mzima wa uongozi unaambiwa uza lukaku na wewe unakubali bila kupima maana yake mambo ya mpira ni zero wale wote wakina ed wakufukuzwa wapo kibiashara mashabik wa hii timu wanachotakiwa kufanya ni kuacha kununua bidhaa za hii timu na kuingia uwanjani wakipata hasara kwenye biashara jibu watapata wao wanafaidika kifedha mambo ya uwanjani hayawahusu
 
Abraham anaweza vipi?

Management mambo ya mpira ni zero huwez uza lukaku na herrera kwa mpigo bila replacement kupata
 
Tatizo la Man u ni vijana wadogo kubebeshwa mizigo mikubwa.
Rashford hawezi kufanya aliyofanya van persie au tevez
Pereira kwa Giggs
Tominay kwa Scholes
Maguire kwa vidic
Lindelof kwa ferdinand
Martial kwa Rooney

Wachezaji wa Man u wa sasa ni wa kiwango cha timu iliyo katikati mwa msimamo, hata kama akibadolishwa kocha ni sawa na kazi bure.
Kumbuka Maguire ni £80

Fred £60m

Wachezaji ghali hao
 
Europa mbaya Sana kwenye kuchosha wachezaji, even Rashford hakutakiwa kuanza leo, amecheza mfululizo mechi nyingi, sema ndo hivyo hatuna jinsi.
LVG,Mourinho wote walicheza Uropa but hali yetu haikuwa mbaya kiasi hichi
OGS aliwaondoa Lukaku,Herrera na Sanchez bila replacement alikuwa hayajui haya?
PSG walikuwa na majeruhi jana Herrera amecheza full back wa kulia na akatoa assist
 
Naona Kuna misukule inamkumbuka mou na kutuona sisi wanajeshi tuliempindua yule hayawani kuwa tulikosea kwa maamuzi Yale pendwa .. Nasema Tena timu ilifanya maamuzi sahihi kumuondoa nduli yule .. Kufanya vibaya kwa ole hakuondoi upuuzi wa Mou ...

Narudia Tena na nimekuwa nikilisema hili several times man United lazima iwe timu ya kocha akifanya vibaya FUKUZAAAAAAAA... Sio kung'ang'ania .. Mou Fukuzaaaaaa ... Huyo Ole Fukuzaaaaaa Mpaka turudi njia kuu.

Sasa nazisubiri zile mbuzi au mifugo ya nduli mou ije kichwa kichwa kujibu hii comment kipuuzi puuzi niwaoneshe kwanini Kilimo kiliitwa Ni uti wa mgongo.

GGMU

GGMU
 
Sio kocha ni mfumo mzima wa uongozi unaambiwa uza lukaku na wewe unakubali bila kupima maana yake mambo ya mpira ni zero wale wote wakina ed wakufukuzwa wapo kibiashara mashabik wa hii timu wanachotakiwa kufanya ni kuacha kununua bidhaa za hii timu na kuingia uwanjani wakipata hasara kwenye biashara jibu watapata wao wanafaidika kifedha mambo ya uwanjani hayawahusu
Kuna watu wanaamini James ni bora Sanchez au Rashford kuliko Lukaku.

Form is temporary but class...

Mkimfukuza Ole haitasaidia atakayekuja atafanya kazi na hao hao akina Rashford, hakuna quick solution kwa sasa.
 
Ma boss wa manchester united hawana tofauti na magufuli kwa kujifichia kwenye migongo ya watu
Hata akifukuzwa ni ujinga wake. Unakubali vipi kupewa mkataba bila kuhakikisha utapatiwa unachotaka?

Nini kilimfanya akubali Herrera aondoke wakati anajua hatopewa mid.kama Herrera?

Nini kilimfanya akubali kumtoa Lukaku bila kuhakikisha atapewa #9 mwingine? Unamtegemea Rashford😂😂

Unamtoa kwa mkopo Sanchez? Unabaki na nani?

Acha aishushe timu daraja kwanza ili akaitengeneze😂😂
 
mmoja ndio huyu hapa analeta habari za kinafiki kama kawaida yao:

Ryan Giggs believes Ole Gunnar Solskjaer needs to sign four or five more players to get Manchester United back where they need to be.
"They need another four or five players," the Wales manager said.
"He (Solskjaer) has bought in three players but he probably needs seven or eight (altogether).
"But you can't do that over one transfer window, so you have to be patient because it will be slow.

"The culture has changed and what he is trying to do was much needed. He needs time."

maneno haya nyakati za mourinho hayakuzungumzwa
Hivi pamoja wa aina ya wachezaji mliosajili last transfer window, mnaamini bado kiwango cha timu hakijafikia hata ubora Wa Newcastle? Au kocha ndo hana mbinu?
 
Hata akifukuzwa ni ujinga wake. Unakubali vipi kupewa mkataba bila kuhakikisha utapatiwa unachotaka?

Nini kilimfanya akubali Herrera aondoke wakati anajua hatopewa mid.kama Herrera?

Nini kilimfanya akubali kumtoa Lukaku bila kuhakikisha atapewa #9 mwingine? Unamtegemea Rashford😂😂

Unamtoa kwa mkopo Sanchez? Unabaki na nani?

Acha aishushe timu daraja kwanza ili akaitengeneze😂😂

Hao wachezaji yeye OGS ndio alikuwa hawataki,hawakuondoka wenyewe
 
Hivi pamoja wa aina ya wachezaji mliosajili last transfer window, mnaamini bado kiwango cha timu hakijafikia hata ubora Wa Newcastle? Au kocha ndo hana mbinu?
ndio maana nikakwambia hao legends ni wanafiki wakubwa, timu imeharibiwa na mwalimu mwenyewe waache kutafuta visingizio vya kijinga
 
Hivi pamoja wa aina ya wachezaji mliosajili last transfer window, mnaamini bado kiwango cha timu hakijafikia hata ubora Wa Newcastle? Au kocha ndo hana mbinu?
Yaan kwa kariba ya wachezaji tulionao sioni umuhimu wa kocha mpya....yaani wachezaji hawana spirit kabisa..wanacheza wamerelax sanaa...hawapambanii brand ya utd
 
Back
Top Bottom