Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,333
- 33,718
Wamezungukwa na watu gani ?
Wale wakina tammy abraham monson mount wa chelsea wnanaumri gan
Wale wakina tammy abraham monson mount wa chelsea wnanaumri gan
Vile wachezaji wenzie wa zamani walimsakama Mou na LVG leo hii kimya [emoji23] sijamsikia Scholes kabisa[emoji23]
Kwani hizo pesa zimeharibika [emoji23]tunaomba muendelee hivi hadi Christmas watu tuendelee kutengeneza pesa.
Ac milan hii ishakuwa
Nini kifanyike jamani, tatizo ni kocha au wachezaji au bodi?
Mou tatizo angepewa Maguire na Bissaka angetoboa sana. Ila naye alikuwa na matatizo(sijui ni yeye au Pogba) maana alishindwa kutengeneza mahusiano mazuri na wachezaji.
Naona Ed alijua Mou angebaki Pogba na Martial walikuwa wanatakiwa kuondoka,hakuwa tayari kwa hilo.
Na inakutana na Liver wachezaji wakiwa na zero confidence, itakuwa aibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakat mnangangana kuwaleta mmojawapo, Pepe mumtoe kwa Mkopo Leeds united kama watamtaka!
Huu utabiri nauitimisha mimi mwenyewe Tar 20.Mkuu huyu Ole Soksi nakuhakikishia atafukuzwa kazi kabla ya Christmas msimu ujao............. hakuna kocha hapo zaidi ya kujikombakomba kwa kina Pogba, Rashford tu
UPDATEBado miezi 3 maandiko yangu yatimie.
Sisi tuko na ndugu zetu Man united bega kwa bega kuhakikisha hamupati hata draw ya kubahatisha..Poleni sana ndugu zangu
Tuko pamoja sana ndugu zetu kwenye hichi kipindi mnachopitia
Sisi kama mashabiki wa liverpool tumeomba mechi ijayo tuwafunge tatu tu ndugu zetu basi itatosha sana !
Poleni sana marafiki
HahahahahahahahahahahahaUPDATE
Sio miezi tena bado wiki 3.
SourceBreaking news Ole sacked