milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,167
Tayari kimoja huku hahahaha
Link ya kuangalia gemu wazee wengine tupo mbali na tv
Mwanangu rashford pia kama mama ntilie???Yan timu kama hakuna wachezaj wote mama ntilie
Makosa ni yale yale na hakuna dalili ya kubadilika,kwahiyo wanyamaze tuMashabiki wa United acheni kulalamika na kulaumu ovyo ovyo, ni uzwazwa kulalamika na kulialia kila wakati
Mwanangu mpaka umtoe mtu roho leoKwa kweli hatukustahili kwenda half time na hili goli 1 moja tulitakiwa tuwe na angalau kamba 3 mpaka sasa,Second half vijana wa tulieni hii mechi ni yetu
WESTHAM UNITED MSINIANGUSHE.
Mpaka sasa sijajua kwann Greenwood hayuko hata sub!! huyu rashfod hii nafasi anayopata kucheza kila mechi kuna siku atajuta!!

i ni futuhi
Mashabiki wa United acheni kulalamika na kulaumu ovyo ovyo, ni uzwazwa kulalamika na kulialia kila wakati
Mkuu hii timu ni kikundi cha matapeli wa Buzuruga.Yan timu kama hakuna wachezaj wote mama ntilie