Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pogba
1546204913787.gif
 
Mameneja watatu tu wa Man Utd wameshinda katila kila moja ya michezo yao ya kwanza EPL:
Matt Busby
Jose Mourinho
Ole Gunnar Solskjaer

Kwa hizo takwimu namuona solskjaer akichukua timu mazima japo ni mapema ila kwa soka analocheza na akipata bek mmoja na namba 2 atafika mbali kwa mfano lukaku karud na goli tukumbuke sanchez yupo nje ambae anapenda soka la mtindo huo timu ipo bado defence tu ndo kuna shida

Japo victor lindelof anafanya poa.
kwa mechi hizi tatu sijaona matatizo katika back line tho tunahitaji CB mmoja
 
Kwa timu yetu hii inavyocheza sasa hivi, ni wazi kuwa hatuna mahitaji makubwa sana ya kusajili kama ambavyo mou alitaka kutuaminisha, eti centre back, kila kukicha centre back, huyo toby angekuja kuongeza nini cha ajabu?? Tena kwa 75???, kama ni centre back alete koulibaly ile ya napoli pale, kweli tutakua tumeleta centre back, alikua anashawishi pogba na martial wauzwe, eti sanchez nae auzwe january, mou angetushusha daraja jamani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mou alikuwa anaenda kuimaliza man u kwa makusudi kabisa.

Defence bado haiko stable I think umeona improvement kubwa kwenye midfield+forward ( average 4 goals per match) na 7 players wamefunga magoli (Lukaku,Lingard, Herrera Martial,Pogba,Matic,Rashford)

Na still OGS anatafuta partner wa kucheza na Lindelof .Timu ikishinda ni ngumu sana kuona weakness zake

Kama defence sio nzuri best option ni kufunga magoli mengi ndio silaha tuliyo nayo now

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mourinho alijuwa kucheza na akili za watu mpaka wakangia kichwa kichwa!

Eti timu ilikuwa ikifanya vibaya kwasababu hajapewa wachezaji anaowataka!!

Sasa huyu OGS kapewa hao wachezaji aliowataka Mourinho?

Watu walidhani Ed Woodward Ni boya sana kuwa ampe hela Mourinho halafu aishie kuwatukana wachezaji aliowasajili mwenyewe!

Tena kuna wengine waliamini kuwa eti Bodi itamfukuza Ed na kumuacha Mou! 😀
 
Mourinho alijuwa kucheza na akili za watu mpaka wakangia kichwa kichwa!

Eti timu ilikuwa ikifanya vibaya kwasababu hajapewa wachezaji anaowataka!!

Sasa huyu OGS kapewa hao wachezaji aliowataka Mourinho?

Watu walidhani Ed Woodward Ni boya sana kuwa ampe hela Mourinho halafu aishie kuwatukana wachezaji aliowasajili mwenyewe!

Tuna kuna wengine aaliamini kuwa eti Bodi itamfukuza Ed na kumuacha Mou! 😀
Matatizo ya United hayajaisha ingawa kuna improvement kubwa on the pitch ndio maana still kuna proposal ya kuwa na position ya Director of Football kupunguza confusion between executive(CEO+Owner) na technical (manager+players) to allign club philosophy which was missing since post SAF era .Makocha wote waliopewa timu baada ya SAF hawakuanza vibaya so its too early kuanza kushangilia mistake aliyoifanya Woodward ni kumpa kazi Mourinho akidhani labda atabadilika na biggest mistake ilikuwa ni kumuongezea mkataba.
 
Açhana na masuala ya umri although mimi ni kaka yako.

Sahisha zile kauli zako ulizotoa kuhusu pogba.

Kuna wakati nilikuambia man united ni Pogba...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe ulikuwa unasema Man U ni pogba kwa uchezaji wake mbovu ule alokuwa anacheza? Kwa kipindi kile hukuwa na sababu ya kusema hivyo manake pogba alikuwa akicheza timu inakuwa hovyo, asipocheza ni hovyo sasa hata mimi ingekuwa vigumu kukubaliana na wewe kwa wakati ule. Nnavyojua Mimi mf. Ukisema Chelsea ni hazard maana yake hazard akiwepo timu inakuwa tofauti na hatari sana na asipokuwepo intensity ya timu na makali yake vinapungua au vinakuwa havipo. Kwa sasa akiwa na consistency ya uchezaji huu basi nitakubaliana nawe 100%

Sent from my Infinix NOTE 3 Pro using JamiiForums mobile app
 
Kwa mawazo haya bora hata hii comment ungebaki nayo mfukoni. Unasababisha watu wakuone kilaza.
Kwan bado mechi ngapi zimebaki si 18 na walioko chini ya msimamo walijua watakuwa huko waliko na mm nimesema wakizembea hao walioko juu na sisi tukawa na hari kama hii tulionayo kombe letu kwan ni kituko timu iliyopo nafasi ya sita ikajitahidi na kuchukua kombe ni mipango tu ya kila timu..!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom