Mimi hapa sitoki,ndio kwa nimefika na msubiri mchambuzi uchwara RADIKA aje na vingereza vyake vya Rasi simba.Mwanangu mpaka umtoe mtu roho leo
Wa kulaumiwa ni ole, sababu rashy hata Ku dribble hajui halafu yeye anamfundisha kufunga
Wa kulaumiwa ni ole, sababu rashy hata Ku dribble hajui halafu yeye anamfundisha kufunga
Ole akiendelea kuaminiwa atatufelisha vibaya sana, hamna kocha hapa. Timu inacheza kilevi,wachezaji wazito hadi vichwani. |
Huoni malengo yoyote timu ikishika mpira,wanasubiri simple mistakes za mabeki wa whu
Ole akiendelea kuaminiwa atatufelisha vibaya sana, hamna kocha hapa.
Timu inacheza kilevi,wachezaji wazito hadi vichwani.
Jamaa wanakosoa movement za rashford hapa
Amini nawaambia toka moyoni aliyosema peter drury kwa huyu kamwe hayatabadilika....drury yupo sahihi kwa asilimia mia mbili.....
Kwamba miguuni na movements kama za christiano ronaldo ila kichwa cha christian benteke
Ndio Hali Inakoelekea mkuuNasubiria comeback hapa
Tuna maisha magumu sana
Ina maana tutakaa misimu kumi bila epl


mkuu taratibu
Hivi yale majeraha yanayowapata wachezaji na kuwaweka nje kwa msimu mzima kwanini hayapo kwa Rashford?
Mkuu umetisha sanaHivi yale majeraha yanayowapata wachezaji na kuwaweka nje kwa msimu mzima kwanini hayapo kwa Rashford?
Huyu Rashy amefundishwa kulikimbia goal duh.
Namuonea huruma sana Wana Bisaka