Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kapewa game ngapi?
kapewa game ngapi?
Gunnar Solskjaer replacement' if slide continues
The Old Trafford hierarchy are allegedly already preparing for the future as United continue to fail to impress under Solskjaer

Gazeti la Mirror uk lime riport (huku si ndiko kuhesabiwa mechi au ??
 

Attachments

  • Screenshot_20190922-083747.png
    Screenshot_20190922-083747.png
    29.8 KB · Views: 13
Gunnar Solskjaer replacement' if slide continues
The Old Trafford hierarchy are allegedly already preparing for the future as United continue to fail to impress under Solskjaer

Gazeti la Mirror uk lime riport (huku si ndiko kuhesabiwa mechi au ??
Gazeti la Mirror kama la udaku.
 
Kweli mkuu

KDB yupo very modest

Miguu yake ndio inaongea uwanjani
City ni moto.

Kuna wachezaji hawana nyota ya kuzungumzwa au kukuzwa, Pogba angekuwa na hata nusu ya kiwango cha KDB dunia ya wanasoka ingesimama kwa muda.
 
Mkuu Pogba na Martial ni majeruhi, japo kocha alisema atawaangalia siku ya jumamosi kama wataweza kucheza
Hiyo mechi gomes haiwez kabisa yaani watachukua mpira wanavyotaka kesho pogba anacheza
 
Kweli mkuu

KDB yupo very modest

Miguu yake ndio inaongea uwanjani
Hana mambo ya kiboshoo.

Carragher alisema watu wanadai Pogba hajapata mtu wa kumfanya acheze free,sasa akawa anajiuliza huo ufree unaozungumziwa ni wa aina gani? Yani asikabe wala kutafuta mpira akae tu au?

Pogba hadi anamaliza soka lake watu wataendelea kusema hivyo hivyo hajapata mtu wa kumfanya acheze free.😂😂
 
Hiki lazima kiwe kikosi bora kwako, maana kimekubugiza goli 4-0 pale OT
Mkuu hii Manchester nakiri kwamba ukikutana nayo basi angalau hata draw utakuwa ni ushindi mkubwa sana na nakumbuka pamoja na ubovu wa Liverpool wa wakati ule ..bado wali mentain kupata matokeo mbele ya sir Alex ..ila Chelsea ndo alikuwa akiwasumbua sana ..

The best of Man United ..kwangu mimi naona hich ndio kikosi bora kuwahi kutokea apo OT..

Kila la kheri Chelsea
 
Mkuu embu rate kiwango chako cha mipasho
Asee tunakufahamu banaa wewe ndo King wa mipasho tena mingi unaletaga kule kwetu ..Mara tunaupiga mwingi, Mara lampard akatizi desemba...hahaha

Mipasho ni sehemu ya ushabiki wa mpira na Nina imani kila shabiki lazima awe na mipasho japo viwango vinatofautiana kimtindo...

Hata hii uliandika tayari ni mipasho maana unaongea kwa kujilinda uku ukiponda upande mwingine...

Leo nakupiga ..

Kila la kheri Chelsea
 
Umeshaanza kutengeneza mazingira ya kujitetea dhidi ya msimamo wako

Kwani penati sio magoli? Wewe amekupiga goli 2,moja haikuwa ya penati

Haya Barkley alipiga penati juzi, niambie ana magoli mangapi msimu huu

Haya embu toa magoli ya penati, uone kama huyo Kane au Salah watakuwa na magoli mangapi
Na akifikisha basi ujue goli nane/tisa ni penati..

Kila la kheri Chelsea
 
Ulimwengu wa leo mpaka namba tisa anakaba (ku press kuanzia mbele na mipira iliyokufa wanarudi kukaba) halafu leo mtu anakwambia Pogba anapaswa acheze free, sijui asipewe majukumu ya kukaba...... Blah blah blah.......


Hana mambo ya kiboshoo.

Carragher alisema watu wanadai Pogba hajapata mtu wa kumfanya acheze free,sasa akawa anajiuliza huo ufree unaozungumziwa ni wa aina gani? Yani asikabe wala kutafuta mpira akae tu au?

Pogba hadi anamaliza soka lake watu wataendelea kusema hivyo hivyo hajapata mtu wa kumfanya acheze free.
 
Back
Top Bottom