Waseme
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,611
- 4,119
Ni muda wa kucheza technical football mambo ya kuvizia na kuombaomba pasi ovyo hakuna hahahaa ikiwezekana unakokotoa mwenyewe au unapiga shoots.kama touch inazingua basi tena,Solskjaer anataka kila mtu ajibebe ww msikilize kwenye press zakeMi mwenyewe namhurumia sana maana sanchez lazima acheze hapo sijui itakuwaje ajitume tu hamna namna
Tulia Mkuu...Kuna vitu vinakeraaaaq, kwa kujituma huku kwa Rashford unamtoa unamuacha martial kasimama tu kule kushoto
Sent using Jamii Forums mobile app
atakuwa mourinho mkuu