Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Na huo ndo ukwl wengi hawatak kukubali.. Yan itachukua miaka na miaka man United kua bingwa wa ligi.. Ndo yanayo mkuta mpk saiv Liverpool
 

Which top? labda tuanzie hapo
 
Na huo ndo ukwl wengi hawatak kukubali.. Yan itachukua miaka na miaka man United kua bingwa wa ligi.. Ndo yanayo mkuta mpk saiv Liverpool
Sema ndo yaliyomkuta Liverpool. Ametoka kwenye huo muda wa mpito alioupitia kwa muda. Ndo maana ameanza win trophies.
 
Uzuri haka kawimbo huwa kapo kila msimu..
WATU WAANZA NA MUNKARI TUNAVYOZIDI KWENDA UKINGONI, wanaanza Ole sio kochä.
Nawaambia hivi, ikifika decemba kuelekea mwakani MTAMKUMBUKA hata Lukaku...

Wewe unastahili kupewa tunzo ya heshima NOBLE PRIZE mwaka huu kwa kuona mbali!

Lakini wacha utani December ni parefu bhana! Ni hiihii August tunaanza kuyashuhudia uliyoyatabiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…