radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Mkuu jaribu kutumia lugha ya ustarabu kidogo sisi wote huwa tunatania sana humu lakini huwa hatutumii lugha hizi.
Watu wa hivyo huwa wanakuaga na id zaidi ya moja kwa hiyo wanaibuka na id tofaut tofaut

