Charlie chaplin
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 336
- 314
Nadhani jamaa anafanya kwa vitendo kuwa hataki kuwa hapa maana anafanya makusudi tu humu ndani.
Washabiki msiokua na shukrani. Sijui unataka pogba awafanyie nn mkubali mchanga wake. Kila siku mnamlaumu tu. Hivi hamuoni nafasi Pogba anayopangwa saivi ni tofauti na aliyokua akicheza Juventus na Ufaransa. Sasa mtu anacheza deep midfield kazi yake kubwa ni kupeleka mashambulizi mbele kama long pass tunazoona anatoa na assists. Sasa ww shabiki umekaa kibanda umiza huko badala ya kureason kwamba Pogba anacheza nafasi ambayo sio yake unakimbilia kutoka lawama tu.
Kila siku Pogba Pogba anazingua hamchoki kumsema huyu mtu vibaya.
msipo toa droo bc ni kichapo