Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,005
- 7,383
Witchcraft in its finestMan Utd has signed their future EX-manager. Pochettino cloud will be back at Old Trafford by the end of next season.
Sent using Jamii Forums mobile app
Witchcraft in its finestMan Utd has signed their future EX-manager. Pochettino cloud will be back at Old Trafford by the end of next season.
nisivyowapenda wachezaji wa kiingereza kila ninaposikia tetesi za maguire hutamani niwe CEO wa man utd kama jamaa yule anavyotamani malaika wa mitandao ateremke.Barca want to offload Umtiti ,they are working hard to sign De Ligt
Hii manure uongoz wake ni kama wa yanga mkuu. Ole Guna Soksi iliyojaa kawashika masikio na kuishia kumwamini na kumpa timu. Ngoj tuone atafanya nin..Labda akamkalishe pazia lako KEPA lakini sio kwa Mnyama ALLISON hagusi hata robo
Allison ana enjoy sana ..uwepo wa VVD, Matip, Gomez, Walhunjuhd, Hendo...Labda akamkalishe pazia lako KEPA lakini sio kwa Mnyama ALLISON hagusi hata robo
nisivyowapenda wachezaji wa kiingereza kila ninaposikia tetesi za maguire hutamani niwe CEO wa man utd kama jamaa yule anavyotamani malaika wa mitandao ateremke.
licha ya kuwa umtiti ana rekodi ya kupata majeruhi kwangu mimi namuona ni bora kuliko maguire na varane
Ile timu hata angepewa Zidane au Pep au Mourinho wangeshindwa tuKocha yyte yule mwenye uwezo wa kuchukua makombe football is all about trophies sio kama livapool wanaofurahia hugging.
Unamuondoa kocha mwenye makombe 27 kwenye carrier yake unaenda kumchukua kocha aliyeishindwa hata Cardiff city.
nisivyowapenda wachezaji wa kiingereza kila ninaposikia tetesi za maguire hutamani niwe CEO wa man utd kama jamaa yule anavyotamani malaika wa mitandao ateremke.
licha ya kuwa umtiti ana rekodi ya kupata majeruhi kwangu mimi namuona ni bora kuliko maguire na varane
mkuu class of 92 si ndio hao mizinguo baadhi ya nyakati.mkuu inaonekana unaijua United kuliko class of 92
tupe updates za usajili tujue kabisa kuliko kuwa frustrated wakati ukifika
cc Giggs
Mkuu huyu Ole Soksi nakuhakikishia atafukuzwa kazi kabla ya Christmas msimu ujao............. hakuna kocha hapo zaidi ya kujikombakomba kwa kina Pogba, Rashford tuHii manure uongoz wake ni kama wa yanga mkuu. Ole Guna Soksi iliyojaa kawashika masikio na kuishia kumwamini na kumpa timu. Ngoj tuone atafanya nin..
Sent using Jamii Forums mobile app
De ligt ,ni swala la barca tu kuamua .dogo huyu mzuri sana,on top of that ni true leader.thanks nilikuwa sifahamu.
kuhusu Matthijs de ligt watapata upinzani kutoka kwa barcelona kwa sababu gerard pique umri wake ni mkubwa halafu mustakabali wa samuel umtiti haujajulikana.
Kwani Sali bolo anafanya nini ?Hii manure uongoz wake ni kama wa yanga mkuu. Ole Guna Soksi iliyojaa kawashika masikio na kuishia kumwamini na kumpa timu. Ngoj tuone atafanya nin..
Sent using Jamii Forums mobile app
pre season ni mwezi July.OGS leo kwenye interview kasema kishawaambia viongozi wachezaji anaowataka na atawapata before pre season
Deoglas Costa anaweza akatuaOle kawa Manager,,Nitashangaa sana kama hatatafuta mchezaji wa winga ya kulia wa kuaminika
hahahahaaaaaa hatari sana wapiga ramli wa mpira wa ulaya kumbe wapo
pre season ni mwezi July.
dirisha linafungwa kabla ya ligi haijajanza.
ed woodward hana uwezo wa kuleta wastani wa wachezaji wanne kabla ya july 1 kwa kutumia rekodi za madirisha yaliopita.
labda tuanze kufanya negotiations kuanzia sasa kama wanavyofanya timu nyengine.
kama kutakuwa na mchezaji yeyote maarufu anayetaka kusajiliwa mfano wa gareth bale lazima tetesi zake zitangazwe zaidi ya wiki mbili, huyo ndio ed woodward ninayemfahamu mimi.
ngoja tuone pengine sipo sahihi
Kocha yyte yule mwenye uwezo wa kuchukua makombe football is all about trophies sio kama livapool wanaofurahia hugging.
Unamuondoa kocha mwenye makombe 27 kwenye carrier yake unaenda kumchukua kocha aliyeishindwa hata Cardiff city.
siwapendi kwa sababu wanapewa thamani kubwa sana kinyume na uwezo wao kuanzia price ya kusajiliwa hadi mishahara wanayolipwa.Mkuu ingawa wachezaji wa kiingereza huwa wanamatatizo haswa ya kushindwa kucontrol umaarufu wao, nawatamani sana wan Bissaka,sancho na Declan Rice tu they have a bright future.
Sent using Jamii Forums mobile app
Manchester United imekufa rasmi sasa nimeamini...............Mmefanya second worst decision tena kwa Mara yingine Baada ya ile ya Mourinho mmekwisha Dah