Solskjær can't fix United alone; a director of football is still a must
nilichowapendea manchester city ni ule mpango wao wa kumtafuta DOF anayeendana na mikakati yao ya baadae kisoka, hata alipokuja josep guardiola ilikuwa ni rahisi zaidi kwa soriano na kocha mkuu kufanya kazi kwa pamoja kwa sababu kwanza wanafahamiana tokea catalunya.
pale chelsea tulishawahi kushuhudia mgogoro mkubwa wa kimaslahi kati ya jose mourinho na DOF.
real madrid tulishawahi kushuhudia mgogoro kati ya jose mourinho na DOF aliyekuwa anaitwa jorge valdano.
mara nyingi tumeona DOF anapoletwa mwanzo ndani ya klabu anataka awe ndio ubongo wa kocha mkuu kama ilivyokuwa chelsea na real madrid nyakati za jose, kinyume chake ni hivyo ni kwamba kocha naye anataka awe na sauti kuliko DOF.
miaka ya zamani tulishuhudia kazi nyingi zikisimamiwa na makocha wakuu (manager) tofauti na nyakati hizi ambazo kwa kiasi kikubwa sana majukumu yamekuwa yagiwanywa pande mbili (kocha na DOF/ TD).
nadhanii kuna umuhimu wa kuongezwa mtu wa tatu ambaye ni
assistant coach awe ni kama kiunganishi kati ya DOF na benchi la ufundi, nakusudia kusema awe ni muhusika wa maswala ya mazoezi, technical plan pamoja na kureview scouting report.
wapo DOF wengine uelewa wao wa mpira ndani ya uwanja ni mdogo ukilinganisha na makocha waliocheza na kufundisha mpira.
hii kazi ingelimfaa zaidi
mike phelan kiupande wangu, carrick na mckena wabaki kuwa ni makocha wasaidizi wa OGS, huku phelan akiwa kama ni sikio jengine la gaffer kwa nyakati hizi ambazo mzee fergie bado yupo hai napata imani uwepo wake na phelan utakuwa ni msaada mkubwa kwa OGS.
je ujio wa DOF/ technical director atakuwa na uhuru wa kufanya maamuzi mema juu ya klabu au bwana atabaki kuwa glazer family?