Number 10 yako Jesse lingard alafu unategemea ushindi,huyu kocha mapenzi yake kwa waingereza yanamponza unamwachaje Mata nje.
Hiki kipigo kimeniuma lakini ni kizuri sana ili kumuamsha huyu mlevi wa waingereza Ole. Huwezi kumuweka Mata, Pereira bench ili Lingard atambe. Kuna wachezaji tunawapotezea muda sio wa hadhi ya MUFC kwa sasa. Mfikirie Daniel James chini ya Pep atakuwa moto kiasi gani. |
Morinho aliposema hana timu bali ni "group of players" nusura wamtoe roho
Tutamlaumu bure De Gea wa watu mkuu, timu hamna hapa.
Timu ina wachezaji wachache sana wanaocheza kikazi na kwa uchungu. Hapa hamna kutu, sijui tulimuotea vipi Chelsea.
wewe jamaa haujielewi yaani guadiora anunue iyo takataka James si Bora amnunue James milina au iddy kipangwile
Hiki kipigo kimeniuma lakini ni kizuri sana ili kumuamsha huyu mlevi wa waingereza Ole. Huwezi kumuweka Mata, Pereira bench ili Lingard atambe.
Kuna wachezaji tunawapotezea muda sio wa hadhi ya MUFC kwa sasa. Mfikirie Daniel James chini ya Pep atakuwa moto kiasi gani.
We jamaa mnafki sanaWoyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Jamani Manure yetu![]()

Mmewashaaaaa!Tangu Pre Season kumetokea waganga njaa wengi , wakiwemo mashabiki Wa United wakipiga ramli kuwa timu Yetu ingekula vipigo bandika bandua ...
Tulionyana humu hizo ni ramli chochezi ... Sasa naona ramli zinazidi kuendelezwa na mashabiki wa timu pinzani wakiungwa mkono na Genge Dogo la mabaki ya nduli morinho lililobaki kwenye viunga vya old Trafford ..
Hili Genge nalikumbusha kuwa tumecheza mechi mbili na tuna pointi 4 ...
Sasa endeleeni kuchoma ubani na kuvunja Nazi timu ifanye vibaya ..
Nawakumbusha Next point ni Crystal Palace pelekeni habari moto atakaoupata itakuwa ujumbe kwa wazandiki wote kuwa "Tumewashaaaa"
Nawatakia Weekend Njema..
Siku ile ananiambia hivi nilibakia namshangaa sanaKweli, na Crystal Palace iliyopo UEFA.
Forward ambayo haiwezi kuscore goli zaidi ya kumi kwa msimu.
Morinho aliposema hana timu bali ni "group of players" nusura wamtoe roho
Mou alikuwa sawa kabisa, hii ni timu ya biashara kwasasa. Huwezi kuridhika na CAM ya Jesse kama sio timu biashara. Penalty hakuna anayeweza kupiga, vivyo hivyo pia free kicks ndo hamna kabisa. Sasa hapa si mtihani huu?😂😂 |
ukweli mana u hamna mchezaji hata mmoja ataekuja Simba na kupata namba hilo ni la ukweli kabisa mkuuJames pumbavu sana tulikuwa tunachota mafuta japo kwa tabu na taratibu si kaenda kuchomoa betri daaaa
Nawakumbusha Next point ni Crystal Palace pelekeni habari moto atakaoupata itakuwa ujumbe kwa wazandiki wote kuwa "Tumewashaaaa"
Nawatakia Weekend Njema..
ukweli mana u hamna mchezaji hata mmoja ataekuja Simba na kupata namba hilo ni la ukweli kabisa mkuu
Simba ili jaribu kutunishina misuli na mme wenu Sevilla
fact lingard , rashiford, na martial.
lakini wote hawawezi kumfikia kiwango kagere
pogba anazidiwa kidogo na shibobu
MKUDE ni fundi kuliko matic na mictomnay
chama sijamuongelea wala kahata
My condolences to you people.
Acha ushabiki lingard anamuaweka Nani benchi Simba na rashiford wake?Changiaga basi vitu vyenge akili unapo ni quote
Sasa kama pogba nae hawez kucheza simba basi simba hata real madrid ni timu ndogo kwake