Hatuwezi kushinda kila mechi mkuu. Hata hao City na Liver wanafungika

Mkuu tunazungumiza makosa tunayofanya ktk post zangu hamna nipopost nimechukizwa na ile drooo sema ningechukia kama tungecheza hovyo nimependa uchezaj wa jana nimekasirishwa na martial kawekwa central striker anacheza kiulegevu tu anapoteza mipira first touch hakuna hapo tu
 
Cha kukusaidia hapo "" kwamba mkono ulizidi Wakati anatoa pasi ya goli""
Offside Inakuwa pale tu kiungo ambacho kinaweza kufunga kikizidi.
Sasa mkono Hauwezi kufunga ndo mana haikuwa offside.
So mkono unapozidi sio offside.
Labda mimi ndio nikisaidie

Kiungo chochote cha mwili kikizidi na mchezaji akafunga goli, hiyo itahesabiwa kuwa ni off side position

Labda hiyo ya kiungo kinaweza kufunga ni sheria mpya ya offside ambayo imeanza kutumika msimu huu
 
Sasa Man city kama hujui hata Arsenal wana middle nzuri kuliko wao, kinachowasaidia city ni wings zao Sterling na wngineo pamoja na Ukuta mzuri ndo kinawabeba ..lakin hata Man united anaweza kuwa na kiungo nzuri kuliko hata City(unaweza ukawa ni utani pia)
unasemaje?
FB_IMG_1565200376667.jpeg
 
Mie mbali na tabia zake nje ya uwanja,hata uwajibikaji wake ndani ya uwanja haunivutii kabisa. Angalia watu kama kdb,modric, wana mambo makubwa sana lakini wanakimbia karibu eneo lote na muda wote ndani ya dakika 90. Pogba ndio anasababisha kiungo chetu kilegee maana hakabi achilia mbali kupoteza mipira kizembe.

Kitu kingine man utd ndio imekuza brand ya pogba,tofauti na alivyokuja. Na sidhani kama akiondoka man utd ataendelea kuwa na dhamani ile ile,maana man utd fan base yetu ni kubwa pamoja na upungufu wetu wa quality players,anaonekana yeye tu.

Wachezaji wa Liverpool sio wa quality kubwa sana lakini team work na commitment inawabeba hadi kiungo chao kinaonekana babkubwa. Saa nyingine,kipaji bila uwajibikaji ni bure kabisa. January aje SMS na BF tushindanie kumiliki kiungo na vigogo wenzetu pale EPL.
timu yako haina hela ya kununa hao wachezahi kwa mpigo
 
Muda flani unatamani timu ifungwe mfululizo ili kocha na wamiliki angalau washtuke kuwa kuna mahala hapako sawa. Lakini hii siyo sahihi ni timu unayoipenda sana...ikizingua sana ndo mambo yatazidi kuwa magumu.
Kwa kweli kama hakuna nidhamu kwa timu ni bure kabisa, na pogba akiendelea kuwepo atatuchomesha sana, jombaa ana kipaji lakini hajitumi, mipira inapotea kizembe halafu bro hana muda vile. Sijui ndo anafanya mgomo baridi.
Mbona tumewahi kuwa na kiungo ya fletcher na carrick na tuliendelea kuwepo, rud van, beckham, tevez, ronaldo wote waliondoka..why huyu lakini?
mzee fergie alionaga mbali sana kumwachia pogba aende juventus. Aliona roho ya kiburi na dharau iliyo ndani yake. Mwenyewe alishasema anataka kuondoka, hapendi kuwa hapo na yupo tayari hata mshahara upunguzwe ili mradi tu asiwe man united..mtu wa hivi eti bado ndo tunamng'ang'ania.
Kweli kabisa tulishindwa kusajili angalau viuongo wawili wakatusaidia.
 
Mimi kwa madudu ya Pogba nitaendelea kumlaumu Ole, Aguero mchezaji mkubwa na bora pale City juzi tumeona anakoromewa na kutolewa kwa kutokukaba. Ole yupo anaendelea 'kuchua' kiburi cha Pogba.

Kama kocha anasema penalty zipigwe na Rashford si dharau yeye kwenda kuomba kupiga?

Ole alitakiwa kujenga nidhamu kwanza katika timu ndio mengine yafuate.
Ni lini ole alisema penalti zinapigwa na rashford?

Navyojua mpigaji penalti wa man u ni pogba na katika interview ya mechi ya chelsea rash alisema wapiga penalti wana rotate ili kuepusha timu pinzani kukariri mpiga penalti mmoja na ndio maana akapewa ile penalti ya chelsea.

Sometimes tupunguze ushabiki jamani.
 
Hivi Mtu anaposema "Tungepata kuwanunua Bruno Fernandez, Eriksen na Dyabala" ambapo tayari ameshasajiliwa Bissaka na Maguire huwa anazungumzia mpira wa Ulaya au wa Bongo? Hebu afanye majumuisho ya Kimakisio ya hela za hao wachezaji.
 
Kasome kwa umakini sio kiungo chochote, bali kiungo kinachoweza kufunga goli halali hivyo kama ni mkono tu (not including bega) sio offside. Nasema hivyo kama refa mbobezi
Labda mimi ndio nikisaidie

Kiungo chochote cha mwili kikizidi na mchezaji akafunga goli, hiyo itahesabiwa kuwa ni off side position

Labda hiyo ya kiungo kinaweza kufunga ni sheria mpya ya offside ambayo imeanza kutumika msimu huu
 
Back
Top Bottom