G8M8
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 432
- 393
Maguire ni mchezaji wetu we wako yule garasa kutoka cheltako.... afu team yako ni wasundikizaji tu kombe linakuja Trafford.. Beki bora ni Maguire. [emoji91][emoji91][emoji91]Ila yule magwaya na wasiwasi nae sana , labda bissaka nimeona anacheza vzr sana, magwaya mmh naweka akiba ya maneno