Mechi ya leo tumecheza vizuri

Tumetengeneza nafasi za kutosha japo tumeshindwa kuzitumia

Naona United iliyoboreka ukilinganisha na ile iliyopigwa na Wolves msimu uliopita

Bado sijaelewa kazi ya VAR, mchezaji wa Wolves alizidi mkono wakati anatoa pasi ya goli

Kukosa penati ni jambo linalovumilika kwa mchezaji katika soka, swali ni je Pogba ameng'ang'ania kupiga penati wakati si mteule wa kocha au?

Hapa naona vidudu mtu wengi wanazengea zengea, lakini amini nakwambia katika big six timu itakayochukua pointi angalau 1 nyumbani kwa Wolves basi hao ni wanaume

By the way, Uwanja uliinama

GGM
Umechambua vizuri, hauna punic, n shabiki halisi
 
Point namba moja sikubaliani na ww. Rushford hana conversion rate nzuri kama martial. Ndio maana amewekwambele.
Msimu uliopita kuna kipindi rushford aliwekwa mbele. Akakosa magoli sana.. he is not good akiwa striker.
Binafsi nina machache ya kuzungumza..

1.Sikubaliani na Kocha kumchezesha Martial kama striker..jamaa hajitumi vya kutosha..out of 3 open chances huwa anafunga moja..au asifunge kabisa! He's not good enough kumuamini..ni mara mia Rashford acheze pale mbele.!

2.Lingard hamna kitu pale kabisa!! Sijajua kwann mpk leo anacheza zaidi ya dk 70.
Adreas pereira ni bora kuliko yeye..maana hata kwny ggame ya Chelsea alitoa assist moja nzuri..huyu lingard dahh!! Hamna kitu.

3.Kocha amrudishe Daniel James kwenye position yake(hii ni mara ya tatu nasema)..dogo hayupo comfortable kwenye RW..hata yeye alishaaema amezoea kucheza LW!

4.Back 4 yetu iko vizuri pia DeGea yuko poa..sina shida nao.

5.Wakati umefika ss FRED arudi kikosini..tuone uwezo wake msimu huu..maana Scot anajitahidi ila hes not YET good enough to create a good partnership with POGBA.

6.Kuhusu pogba kukosa penalt;Takwimu zinasema Pogba ndo mchezaji aliyekosa penalties nyingi(4) tangu msimu uliopita uanze...je wakuu mnahisi ni wakati muafaka kumtumia Rashford kupiga penalt!?cuz sijawahi kuona akikosa so far..


Mwisho; Wolves ni wagumu sana wakiwa kwao..tumejitahidi kuoata point moja BUT we DESERVED MORE!! we deserved all 3 points basi tu Attackers wetu hawakuwa makini..

GGMU GGMU
 
Wenyewe wanadai huyo ndio nembo ya MUFC, wacha tutulie.
Hao wana utani wa ngumi.Labda alisajiliwa kwa jina la Paul kwamba atakuwa kama Paul Scholes.Aisee lile pengo mbona tutakesha na mbaya zaidi Herera nae wamepiga bei.Kukaba,kukaba,kukaba.Watu watachukulia point katikati kisa wakukaba hakuna.Time is telling and will keep telling.
 
Huyu jombaa wamruhusu tu aondoke.
Pamoja na kuitwa the best midfielder
Ila wamruhusua aende spain, itakuwa ni kweli jamaa hana furaha.
Penati kakosa na leo kiungo kapoteana kweli.
Moment kama hizi ndo huwa tunamkumbuka babu fergie, alikuwa haruhusu mchezaji aipande timu kichwani.. yaani ukileta usechu hauchezi na unauzwa.
Morali ya wachezaji imeshuka..tutegemee droo nyingi sana.
Yaan hadi usingizi umegoma kuja. Dadekii

Kwa upande wangu sijaona kosa la kunamtoa pogba kuna kiungo mwingine pale wa kuitembeza timu?

Pogba mpira anaujua sema anataka kuondoka kwa kuwa anajua timu anayoitumia ya kawaida kupata mafannikio huenda ikawa ngumu

Huwez kuniambia moyo wake upo safi kucheza na scott,lingard,martial na rashford angalia top 5 timu za ulaya toka namba 6 hadi 11 kisha angalia manchester united

Hivyo vitoto huwa ni vya kuingia sub kupata uzoefu jana timu ilihitaji sub ya striker mwingine unaona kabisa martial na rashford kwisha ujuz wao wote pogba anafanyaje?

Penat kila mchezaj anakosa penat huwa goli had iiingie kambani
 
Nisiwe muongo nimeumia kichizi kudroo hii mechi
Wachezaji wameishiwa molari kabisa Baada ya pogba kukosa penati.
Pogba, pogba, pogba
Haya bana
Halafu ameenda kumuomba Rashford wakati halikuwa jukumu lake. Naona katabia ka aliyefanyiwa rafu ndio apige penalty kanataka kuota mizizi.
 
Kimpira uko sahihi kabisa, ila kiushabiki hatuangalii hizo. Imagine baada kumfunga Chelsea maneno tuliyoambiwa mtaani.

Leo kimya, sioni status za GGMU WhatsApp.

Kwamba kuna timu ikishinda hamna maneno? Mkuu huo mpira wa wapi tambo ni chachu ya mpira

Huku kwetu utasikia nani hayaogopi majogoo ya jiji mpira ni mkwara

Mashabik wasio na maneno ni wa city

Lakin chelsea,liverpool na arsenal balaa tembelea acount ya twiter ya madee kila uchwao kelele tu
 
Ile game na chelsea mpaka nahisi tulibahatisha aiseee..defense iko poa ila oale mbele na kati kati aisee majanga siku tukikutana na city sijui itakuaje

Mkuu hatukubahatisha unapocheza na timu ndogo zenye kujaza viungo wengi katikati hupati nafasi za wazi kama unapocheza na timu kubwa timu ndogo picha linaanza wao wanataka point moja kwanza kisha ushindi unafuata point tatu wanapigania wanapokutana wao kwa wao

Mourinho aliongea ile jumapili kwamba kwa sasa tusubir game inayofuata kujua ukali wa striker unapokutana na timu inayobana nafasi nafikir tumeona kwa mpira jana tumecheza na tulikuwa bora sio kama mech ya chelsea

Upande wa katikati kwa sasa hamna shida sana nikukutoe hofu tu ila balaa litakuja akiumia pogba

Tatizo ni ushambulizi tu
 
Kwamba kuna timu ikishinda hamna maneno? Mkuu huo mpira wa wapi tambo ni chachu ya mpira

Huku kwetu utasikia nani hayaogopi majogoo ya jiji mpira ni mkwara

Mashabik wasio na maneno ni wa city

Lakin chelsea,liverpool na arsenal balaa tembelea acount ya twiter ya madee kila uchwao kelele tu

Ni kweli mkuu, shida ya Man Utd washabiki ni wengi sana, kiasi kwamba kila ukigeuka unakuta kuna mshabiki wa Utd.

Kwa hiyo ile collective noise ni kubwa Zaidi, imagine unaweza kuwa kwenye group lenye watu 15 kukawa hakuna mshabiki wa Chelsea, lakini lazima utakuta 5+ ni Man Utd.
 
Dah mkuu hii sio sawa bana ..twende taratibu tu..

Although mumeshindwa kumfunga Wolves, Leicester mutaweza kweli
Mkuu Kuna watu sio, wastaarabu humu

Kwa hiyo inabidi kwenda nao hivyo hivyo

Jana ilikuwa siku ya bahati kwa Wolves, lakini tuliwazidi kila kitu

Hao Leicester mkuu ni wababe wako mkuu, naona ulijipiga ban kama kawaida yako
 
Hata kama tukifungwa mia..lukaku hakuwa mtu sahihi kubaki MAN U..ni bora alivyouzwa.

Lukaku hakuweza kuonelana kwny mechi ngumu kama hizi..huwa anapotea kabisa.!!
Usimtetee mkuu.

Hapana lukaku nafasi yake ipo pale nakwambia tena sema ubinafsi wa kutaka vi academy vicheze utatuponza

Mech ngumu ipo lukaku jatusaidia? Kama hakufunga goli basi ujue kuna bek kamkaba hiyo inakuwa nafasi kwa madogo

Jana ukiangalia hata kona ikipigwa unawaza nani anafunga mipira ya vichwa
 
Back
Top Bottom